Ni vi ba haaaapa!!Ulikuwa wapi dada yangu? Uhumi kunyumba?
Yule fwaza bana ana sauti ya ki bossShunie baby..kwa sauti ya Lemutuz .Am humbled u know

Inawezekana pia though kwa nature ya mobutu Nina subscribe kwenye ritual theoryLIKUD za siku mkuu , hicho kisa kuna wengine wanadai kua wale mabinti walibakwa na wanajeshi wa mobutu na baadae wakawauwa baada ya ubakaji ule ili wasitoe siri na ndio maana wazazi nao pia walipokea makuta ya mingi.
Jina lipo vizuri sanazaire ilitokana na neno la kireno zah- eer na wakongo hulitamka kama nzere au nzadi maana yake ni mtu mkubwa unaopokea maji kutoka mito yote , hivo mwanamajumui aliyesema ni shetani kakosea sana. akasome vizuri