LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,301
- Thread starter
- #41
MTU mkubwa/Mti mkubwa au MTO mkubwa?zaire ilitokana na neno la kireno zah- eer na wakongo hulitamka kama nzere au nzadi maana yake ni mtu mkubwa unaopokea maji kutoka mito yote , hivo mwanamajumui aliyesema ni shetani kakosea sana. akasome vizuri