Kirusi cha rasilimali zetu ni upinzani

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,565
13,540
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
 
Unameseji nzuri unataka kuielezea ,tatizo umekurupuka, hebu kunywa maji kwanza ili utulize akili
 
Hawa upinzani inabidi waache kupitisha hizi sheria zao tena kwa hati ya dharura wawapo bungeni.

Maana bila wao na raisi wa upinzani aliyekuwa madarakani kwa kipindi sidhani kama haya yote yangetokea.

Hawa upinzani sio wa kuwaamini hata kidogo wanaanzisha matatizo wao wenyewe halafu wanajifanya kuyatatu ili waonekane mashujaa.

Wapinzani noma sana.

wafwaaaaaz.... wazee wa font ford
 
Kwa nini idadi ya viumbe ambao wamama walitoa uchafu badala ya watoto waliozaa/kujifungua inazidi kuongezeka kila leo? Poleni wamama mliotoa uchafu badala ya watoto.
 
Bila upinzani sidhani hats kama kungekuwa na jukwaa la kutoa mawzo free kama ivi ulivyo Fanya GUJALATI
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Mkuu upinzani ndio walisaini hiyo mikataba mibovu???Huyo fisadi mnayemtaja mbona hamumshitaki wakati mahakama ya mafisadi ipo??Baada ya kutoka lowasa vp mikataba mibovu na ufisadi umeendelea Symbions,Iptl,Tegeta escrow,Mv magogon
 
Hawa upinzani inabidi waache kupitisha hizi sheria zao tena kwa hati ya dharura wawapo bungeni.

Maana bila wao na raisi wa upinzani aliyekuwa madarakani kwa kipindi sidhani kama haya yote yangetokea.

Hawa upinzani sio wa kuwaamini hata kidogo wanaanzisha matatizo wao wenyewe halafu wanajifanya kuyatatu ili waonekane mashujaa.

Wapinzani noma sana.
I
wafwaaaaaz.... wazee wa font ford
Hawa wapinzani ndo walikuwa madarakani muda wote, ndo walipitisha mikataba mibovu ya maadini huku mawaziri wa chama chao wakiwa ofisini, na kwa kuwa wako wengi bungeni sheria za dharura ndio wanapiga kelele za ndioooooo! Shit!
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
RUSHWA zinatolewa na kupokewa ninyi mkiwa wapi?, utawala wenu hauna udhibiti wa rushwa?, Mafisadi wameibaaa kisha wanahama Hamuwashughulikii wala kuwagusa Mnawaogopa?. kama ni hivyo Endeleeni kufyanta Mikia mshindwe hata kupumua. Msisumbue watu na thread UCHWARA.
 
Mtoa mada, hivi kabla ya kuandika huwa unatafakari au kwa sababu tu unalipwa buku 2 za kupost chochote tu hata kama ni kuwasaliti nduguzo?

Ni lini upinzani uliongoza hili Taifa? Chama kilichopo madarakani kimehodhi viwanja vya mpira na mapato yote wanajibebea tu
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Mawazo pipi kifua haya
 
Wapinzani wajinga Sana, nasikia wakati Dr Slaa akiwa madarakani alipewa zawadi ya mche wa dhahabu wenye uzito sawa na mfuko wa cement.
 
Hapa hawa vilaza wa Lumumba hutawaona
Ha ha haaaa... Wonders will never cease. Kwamba upinzani ndio wamelifikisha taifa huku, dah. ILA sishangai Mkuu, JF sikuhizi Kuna watoto wengi Sana ambao wameanza kujifunza siasa hapo insta.
 
Back
Top Bottom