mjoli wa kweli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 630
- 388
Daah. Watanzania bado tunaishi kwa kusikia tu?Wapinzani wajinga Sana, nasikia wakati Dr Slaa akiwa madarakani alipewa zawadi ya mche wa dhahabu wenye uzito sawa na mfuko wa cement.

Wewe unaishi kwa kutazama Tu?Daah. Watanzania bado tunaishi kwa kusikia tu?
Mkuu "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"Wewe unaishi kwa kutazama Tu?
Kwa hiyo ndiyo Kusema Lissu alisaini mikataba ya hovyo au Lissu ndiye aliyenunua kivuko kibovu cha mwaka 1928 kwa bilioni nane au Lissu ndiyo aliyeuza nyumba za serikali ?KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI
Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.
Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.
Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Ha ha haaaa... Wonders will never cease. Kwamba upinzani ndio wamelifikisha taifa huku, dah. ILA sishangai Mkuu, JF sikuhizi Kuna watoto wengi Sana ambao wameanza kujifunza siasa hapo insta.
Mkuu, uchizi huanza hivi hivi. Kama nchi bado inao watu wa aina ya huyo dudumizi uliyemjibu, kazi tunayo kama taifa.Hawa wapinzani ndo walikuwa madarakani muda wote, ndo walipitisha mikataba mibovu ya maadini huku mawaziri wa chama chao wakiwa ofisini, na kwa kuwa wako wengi bungeni sheria za dharura ndio wanapiga kelele za ndioooooo! Shit!
Haya basi ESCROW ,MEREMETA,RICHMOND, MIKATABA YA GESI NA MADINI ,LUGUMI, ni ya wapinzani . b... stardKIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI
Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.
Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.
Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Research inafanyika kwa kutazama Tu?Mkuu "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
Kabisa kabisa Mkuu, JF sikuhizi imevamiwa na watoto.Wapinzani ndiyo wametawala nchi hii kwa takriban miaka 55 iliyokwisha
Mkuu kwa kusema "UMESIKIA" na Uka draw conclusion yako ila hujatafuta undani wa madai yako na kujiridhisha kama hiyo argument yako ni "information" au still ni " raw data". Ni vyema kufanya uchunguzi juu ya hicho unachokiamini kabla ya kuwaaminisha wengine. Labda utuambie tena kuwa ulisikia hicho kipande cha dhahabu aliyopewa Dr. aliiweka mfukono au aliibebaje mkuu.Research inafanyika kwa kutazama Tu?
Wao ndio walihongwa kusaini mikataba ya hovyo?wao ndio wamehongwa kutoa leseni za uchimbaji?KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI
Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.
Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.
Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Umeanza kufuatilia siasa 2015 bila shaka.Mkuu kwa kusema "UMESIKIA" na Uka draw conclusion yako ila hujatafuta undani wa madai yako na kujiridhisha kama hiyo argument yako ni "information" au still ni " raw data". Ni vyema kufanya uchunguzi juu ya hicho unachokiamini kabla ya kuwaaminisha wengine. Labda utuambie tena kuwa ulisikia hicho kipande cha dhahabu aliyopewa Dr. aliiweka mfukono au aliibebaje mkuu.
Utaelewa Mahakamani Mkuu.Upinzani wa Tanzania hawajielewi haki ya Mungu mi siku hizi siwaelewi
Inaweza kuwa kweli hayo unayosema ila kuanza kufuatilia siasa miaka 45 iliyopita haikupi haki ya kuhukumu kwa KUSIKIA mkuu.Umeanza kufuatilia siasa 2015 bila shaka.
kweli wapinzani ndo walisaini mikataba ya kinyonyaji na mwekezaji. wanamwonea Mkapa. na mtemi chenge. pia wapinzani ndo walipitisha miswada ya sheria ya madini kwa kura nyingi za ndioooooKIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI