Kiruka Njia anapofadhaisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiruka Njia anapofadhaisha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Falcon, Sep 26, 2012.

 1. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jicho.jpg Kweli Dunia inakaribia mwisho leo kila kona upitayo makalio ndio yamekuwa kivutio kikubwa vijana hamu ya papa imewatoka siku hizi, baadhi ya kina Dada wana sikikana wakisema kuchukuwa mimba siku hizi ni kujitakia mwenyewe .
   
 2. L

  Laaziz Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fadhaikeni tu shauri yenu!
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo ili usipate mimba yakujitakia unahamishia mashambulizi wapi?
   
 4. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Papa samaki eeeeeh.....labda wavuvi hawapati ni adimu

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 5. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo 0713 inahusika sana eeeh?
   
 6. kaka mkweli

  kaka mkweli Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Dunia haina mwisho ila vina mwisho vilivyomo
  "Dunia haichakai vinachakaa vilivyomo"-profesa jay wa mitulinga
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ina maana wenye flat skrini huwa hawafanyi huu umaaluni?
  #curious cat#
   
 8. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  macho hayana pazia,sometimes angalia kwa kuibia basi,mtaka vyote hukosa vyote
   
Loading...