Unapoanza kazi/biashara kiaafrika unashauriwa kipato chako cha kwanza uwanunulie chochote wazazi wako na wote waliokusaidia kukufikisha hapo.
Mentor usilalamike wazazi wako wali sacrifice sana kukufikisha hapo.

Patience....thanks! ivi unaweza ukaugawa vipande vipande pia kwa ndugu wengine? nilifundishwa unatakiwa kutoa yote..Sielewi makabila mengine, lakini mkuu Bishanga naungana na wewe kuwa utaratibu huu ni mzuri kwa ajili ya kupata baraka za wazazi au ndugu waliowezesha kufika hapo ulipo. Itakuwa si jambo jema kupokea mshahara wako wa kwanza au pesa yako ya kwanza ktk biashara yako then pesa hiyo ukaenda kugonga Valuer, Jack Daniel's au kutafuta changudoa.

Kwani wazazi wako walipotumia pesa zao kukusomesha wao wali-benefit vipi?! Usiwe mbinafsi kupitiliza.
nchini Finland faini ya traffic offence ni asilimia ya kipato chako na sio flat rate kama elfu ishirini za bongo.Nia na lengo la faini hiyo ni kumfanya anayelipa ajisikie kalipa.Sasa mkuu uanze kazi exim bank mshahara dola elfu mbili ndo wazazi wako uwape kilo ya sukari from your first salary? hapana,si sawa.
gesture Mentor gesture,ni sadaka tu ile na sio malipo,huwezi kulipia kilio chako kilichowalaza wazazi wako macho wakatembea kiliomita tano porini usiku wa manane kukupeleka hospitali umezidiwa homa,haina malipo hiyo.da Lizzy siwi mbinafsi ndio maana nkauliza ili nipate majibu sahihi...kwani nikiwapa kamshahara ka mwezi wa kwanza ndo kitalipa all what they have done to me?
Mamndenyi ......... najua unanisema kwa mafumbo hapa............Nilishasema nitakununulia kaniki mwakani..........Dogo mmoja nilikaa naye akamaliza chuo salary ya kwanza kilo mbili alimpa bibi yake na faza wake anafanikiwa ile mbaya hata majuzi kanipa kilo nne baada ya kukwama mahali. kwakweli .kiruuo mawoko. inalipa.
gesture Mentor gesture,ni sadaka tu ile na sio malipo,huwezi kulipia kilio chako kilichowalaza wazazi wako macho wakatembea kiliomita tano porini usiku wa manane kukupeleka hospitali umezidiwa homa,haina malipo hiyo.
@Mphamavu, ulipokalia sefuria haikuathiri uwezo wako wa ile haja kubwa unayopenda kuiongelea? Lol
Mentor kakangu, hata Biblia inasema kuhusu malimbuko. Utapeleka kilicho kinono kwa Mungu na kwa wazazi. Mzazi sio lazma aliekuzaa tu, ila hata aliekulea kwa sehemu kubwa pia.