mkuu, mimi nadhani hata neno 'RB Number' bado lingekuwa sio sahihi kwa kuwa hii ingemanisha 'NAMBA YA KITABU cha Ripoti', kana kwamba kuna vitabu vingi vya repoti (wakati kiuhalisia fomu/karatasi ndio zenye namba tofautitofauti kulingana na aina ya tukio).
Kwa usahihi kabisa hizo namba zingeitwa Report Numbe (RN)--Namba ya Ripoti.
Wana UD vp hampo hapo maana ni wapenzi wa RB mnapoishiwa boom sorry mkuu ila sisi RB tunaitambua kama Rice Beans kiswaz wali maharage ni chakula kinachopendwa sana na wanafunzi pale wanapoishiwa boom maana ni sh 800/ tu Tsh