Anaweza kuufanyia ithibati za kisayansi kweli upo?Anaamini
Atafurahi Kweli akisoma hii complimentKiranga ukitaka kumuuluza kama uchawi upo,atakwambia ufafanue zaidi kuhusu uchawi unao uzungumzia,Mara atasema mambo ya titration za chemistry binafsi Mimi naona kiranga anamsimamo mkali sana nahii imetokana na uwezo wake mkubwa sana wa kielemu kuhusu hizi dini za duniani