Kipupwe

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Tunga sentensi kwa kutumia neno "kipupwe" ni maalumu kwa ajili ya hali ya hewa ya mwezi huu!

naanza: ninapenda sana vitu vya moto wakati huu wa "kipupwe"
 
BAGAH anapenda sana vitu vya moto wakati huu wa kipupwe
 
Last edited by a moderator:
kipupwe kikiisha utakuwa umeachana na Mamndenyi na Evelyn salt nami nitarudi kwako

unaogopa kuparurwa sura eee? Kwanini usipigane kufa na kupona ili ufaidi kipupwe?
 
chagua mnyonge wako niite na mwanasheria wangu ruta akusainishe.

hivi slave unataka nilie jamani? Me sitaki kushea dushe nataka nimiliki peke yangu...... Kama utaweza sawa muite loya kama umeng'ng'ania 4some basi lv me alone!!!!
 
hivi slave unataka nilie jamani? Me sitaki kushea dushe nataka nimiliki peke yangu...... Kama utaweza sawa muite loya kama umeng'ng'ania 4some basi lv me alone!!!!

ok let me lv u alone now you are free, sizitaki mbichi hizi ngoja nisaktue ka shori ka kihindi walau kawe kananiimbi kuch kuch hota hae. copy to mtendaji Baba V
 
Last edited by a moderator:
Nilipenda kipupwe hiki niwe na laaziz wangu
 
Last edited by a moderator:
Kipupwe hiki mpe mkeo joto wengine tumeshakomaa na. Baridi na kulala alome.
Mamndenyi embu ziambie lips zako zifanye maajabu katika mashavu yangu nataka cht cht nzima ijue na sio siri tena.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…