KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo.

Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali inayopeleeka ukosefu wa upatikanaji wa huduma bora na kushindwa kufanya maendeleo yoyote yale kwa kuwa tunasubiria kulipwa lakni malipo hayo yamekuwa story kila kukicha.

Soma ahadi ya 2024: Serikali: Tutaanza kuwalipa fidia wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege
 
Back
Top Bottom