Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Wataalam naomba mnisaidie! Hivi kiprotocali IGP akikutana na DC anagonga saluti au wanapeana mkono tu kawaida?
Marehemu naye kumbe anapigiwa saluti?Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Swala la mtu kuwa Askari haimaanishi atapiga salute kwa kila mtu. Salute zina sheria zake za nani atapigiwa salute na nani. So kabla hujafanya conclusion fanya uchunguzi kwanza.Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Mbunge anapigiwa saluti? Are you serious?Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Kwanini hasipige kwa mtu mwenye mamlaka???! Anapiga kwa DC's,RC's,Ministers's,Judge's,Prime minister,Speaker,Deputy speaker,vice president and president etc.Saluti sikuhuzi hazina maana sana. Hata Macomrades sisi na kama Mangula tunapigiana Saluti tukikutana
DC anapigiwa saluti na wenye nyota 2 kurudi chini hadi kurutaIGP ni high level hawezi kumpigia huyo raia saluti.
Acha uongo weUkiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Wewe ndie umejibu sahihi, wengine wanajibu wanavyojisikia na kuhisi, kama mtu hujui kitu ni bora ukae kimya, ukweli ni kwamba DC hupigiwa saluti na hao subordinate officers ambao ni kuanzia nyota mbili mpaka kuruta.DC anapigiwa saluti na wenye nyota 2 kurudi chini hadi kuruta
Kwani IGP ni mteule wa nani?. Jeshini kuna tofauti kati ya askari na ofisa, chunguza utajua kila cheo cha ofisa kuna watu anao wapigia saluti na sio kila mteule wa raisiUkiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Elewa maana ya saluti kwanza.......Bashite(tena akiwa amevaa kipedo) lazima apigiwe salute na Sirro kwasababu yeye ndiyo kampa hicho cheo cha IGP.