Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
Ndio na kama unakumbuka majuz wabunge wa upinzan walilalamika kutopigiwa salute na askari polisi wanaolinda bungeniMbunge anapigiwa saluti? Are you serious?
Ndio na kama unakumbuka majuz wabunge wa upinzan walilalamika kutopigiwa salute na askari polisi wanaolinda bungeniMbunge anapigiwa saluti? Are you serious?
una uhakika?Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Yupo sahihi, au unabisha?una uhakika?
Kiprotocal, DC, RC hap wote ni commissioners wa rais. Wanapigiwa salutiYupo sahihi, au unabisha?
Hawapigiwi saluti mule, askari haruhusiwi. Labda jimboniNdio na kama unakumbuka majuz wabunge wa upinzan walilalamika kutopigiwa salute na askari polisi wanaolinda bungeni