Kiporo kimeoza kitupwe si salama tumboni

Kiporo kimeoza kitupwe si salama tumboni

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
....

....Ndo shida ya hapa bongo hata kama kitu kimeoza mnalazimishwa kula kisa wewe ushazoea kula viporo vilivyooza!!!!

29854936-fungi-in-rotten-rice.jpg
 
...

....mpaka kimetoa funza aiseeh inahitaji roho ya paka kumeza !!!
 
Kwa kweli mimi kiporo cha wali maharage na chai ya rangi sielewi somo, nikula tu
 
Kiporo cha siku moja unaeka kwenye friji ukihitaji unapasha moto unamesa sku inaendelea
 
tabia za msoga hizo,hata kiporo chenye zaidi ya mwaka kinaliwa
 
Kiporo hali hiyo unaweza pata minyoo
 
Back
Top Bottom