kweli umenena ukidai kitu huku unalegeza saut kamwe hupati. Aidha dada yangu mara ya mwisho aliponea amana hosp. baada mlugaruga kupiga ile mbaya hom tukamweleza kuwa tumekuonya ukaona tuna haribu basi linywe we ci alichomoka mwenyewe maana watu tumesusa hatuna muda wa kufatilia warugaruga
dada yangu mara ya mwisho aliponea amana hosp. baada mlugaruga kupiga ile mbaya hom tukamweleza kuwa tumekuonya ukaona tuna haribu basi linywe we ci alichomoka mwenyewe maana watu tumesusa hatuna muda wa kufatilia warugaruga
Dodoma mbali halafu leo nimekuota tunapita milima na mabonde halfu kuna maua meeeeeeeeeeeengi ya rangi nyekundu na njano yaani we acha tu ukimaliza kusoma futa MJ1 asione maana muda kitambo najua TF atanitumia ila advance ya mahari ya Loner.
hahahahaha! Umeanza uchokozi heartbreaker. Ngoja nimwamshe MJ1 nikusemee.
Shemeji ambaye ni ndugu wa nanihii wangu.
Naamini kwamba mwanaume anayeinua mkono kumpiga mkewe AMEKOSA HOJA mbele ya hoja za mkewe.
Jamii kuhamasika kupinga hivi vitendo ni muhimu
Dodoma mbali halafu leo nimekuota tunapita milima na mabonde halfu kuna maua meeeeeeeeeeeengi ya rangi nyekundu na njano yaani we acha tu ukimaliza kusoma futa MJ1 asione maana muda kitambo najua TF atanitumia ila advance ya mahari ya Loner.
Ndugu wa jamaa wamekuja na defender ya polisi tunaelekea polisi by now.....ntawajuza kinachoendelea
...kumjenga kisaikolojia na kumshauri hatua za kuchukua...Sasa wewe umemsaidiaje huyo mama?
...kumjenga kisaikolojia na kumshauri hatua za kuchukua...
Masuala ya ndoa yana mkanganyiko mkubwa. Unaweza ukadhani mwenzenu anapata shida kwa kuchezea ban ops vipigo kumbe anaona ni kiashiria cha upendo (kama ilivyo kwa baadhi ya makabila).
Ila ninasikitika sana kwamba shemeji yangu ameamua kuficha tatizo na hataki lijadiliwe ama kushauriwa hatua stahiki. Kunahitajika juhudu binafsi na za kijamii kuwasaidia wasio na ujasiri waweze kufunguka na kusikika....
kabla sijamaliza kusoma hiyo thread yako nilikuwa nimeishaingiwa na akili kuona mwisho nitakuta jamaa ameua mtu maana hiyo dharau kwa sie wakurya...walah aki ya nani.....jamaa ana bahati sana haiwezekani atukane familia nzima na kumvunja vunja dada na mbaya animwagie chai !!!!na hongera kwa uvumilivu wako wa kumvunja kamkono na kamguu tu,nilijua umeishachinja paka inayojifanya mwanadamu!!!!!!!!!!!!!!!!!Kuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo..
Nipo dom kwa mapumziko na nilienda kumtembelea dadangu ambae ana p.o.p mkono wakushoto kwa kipigo cha mumewe nilipo muuliza ni kwa nini iwe hivo na ndugu wanasemaje akasema ndugu washachoka kuamua mana wakati mwingine nao huambulia vitisho kama si kipigo toka kwa njemba hiyo...mbaya zaidi jamaa amegoma hata kutoa talaka...
Sasa wakati tukizungumza na dada mara shem kaingia na kuanza na kejeli na dharau zake kwangu eti tunamfatilia sana na maisha yake n mke wake mara ooh ntaoa uko mzima nilipomwambia ajiheshimu ndo kama kapata sababu nilikua nakunywa chai akachukua ile chai na kunimwagia na maneoo kibao ya kashfa dada kuona vile akaingilia kati maskini kunitetea dah! Alisukumwa na kukanyagwa vibaya aisee nilipata hasira mbaya nilichomfanya huyo jamaa sasa hivi yupo moi nilivunja mguu na mkono....
Sasa kimbembe kimekuja ndugu wa huyo shemeji na wangu kuna bifu kubwa na kibaya zaidi baadhi ya ndugu upande wangu wanaunga mkono upande wa pili eti kwa nini naingilia ndoa za watu...kesi iko polisi na kesho kuna kikao hapa hom kizito....hebu nambieni waungwana nisimamie wapi' na je nilichokifanya ni kosa?