Kipofu&Kiziwi.

Kipofu&Kiziwi.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Marafiki wawili,kipofu na Kiziwi walikuwa na Maongezi kama ifuatavyo.Kipofu akamwambia mwenzie(Kiziwi) kwa ishara;"Jana nilichelewa sana kurudi nyumbani,wife alinibwatukia sana,ili kuepukana na makelele yake nikaamua kuvaa headphones nikaanza kusikiliza muziki kwa sauti kubwa".Kiziwi nae akamwambia kipofu;"Mi mwenyewe jana wife alibwata kweli,ili kuepukana na kero ya kubwata kwake nikaamua kuzima taa!".
 
kuna ajali ilitokea ya kugongwa mwanafunzi na dereva kuinia mitini,basi kiwete akamwambia kipofu nishikie magongo yangu níìkimbize ile gari. Kipofu akamjibu usihofu nimeshaiandika plate namba yake.
 
Back
Top Bottom