Kipindi maalum cha maendeleo ya ujenzi wa reli nchini

Vyovyote iwavyo nimefurahi. Nitakua natoka Dar kwa Makonda mpaka nyumbani Ujiji Kigoma kwa siku moja. Naanzaje kupinga mradi kama huu jamani kama sio ujinga
 
sawa ila hautakamilika leo maana hatuna fedha kamili za kutekeleza mradi wote kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom