Kipindi hicho Benja anaitwa Rais

Kipindi hicho Benja anaitwa Rais

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,644
Reaction score
6,466
Wahenga maisha yanabadilika kwa kasi mno. Leo hapo bila kuongeza sifuri mbele hupati kitu [emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1644473203634.jpg
 
Hii itakuwa ni kwenye mgahawa mashuhuri uko California Marekani, AMOUNTS IN US DOLLARS!
 
Mademu kukutana nao mpk atumwe Sokoni ama Buchani kama sio Jumapili baada ya Ibada
 
Aisee!! Sema nini mbali na gharama kuwa ndogo bado walikuwepo ambao walikuwa wanaona ni bei kubwa pia hiyo.
 
Nimekumbuka ule wimbo wa "Mola rudisha hii dunia iwe kama ile ya zamani".
 
Back
Top Bottom