Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Kuna talents nyingi sana. Kwa sasa kuna mtu anacheza juu ya baiskeli wimbo wa Awilo huku anatembea na baiskeli juu ya ringi. Kumbuka baiskeli imesimama na anahojiwa kakaa juu ya taili bila kuweka stand. Pia anaendesha baiskeli akiwa kasimama juu ya stand.Ni ajabu sana na sio ndumba! Jamaa ana talent nyingi. Pia kuna mmoja aliwahi kutengeneza helikopta ya kiswazi ila inaruka kawaida!
Je,wizara ya michezo na utamaduni inawasadiaje hawa?
Wahusika mko wapi kutunza talents hizi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Je,wizara ya michezo na utamaduni inawasadiaje hawa?
Wahusika mko wapi kutunza talents hizi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums