Sawa asanteMkuu sijawahi pata talaka lakin najua kua huyo anaekupa talaka safari yake yaan kituo chake hapo ndio Mungu alipopanga aishie hapo huko mbele kuna abiria wengine watapanda katika basi/maisha yako..usijali hata ndege wenyewe hawajui watakula wapi na kulala wapi.Mungu ni mwema ana haja na maisha yako..kuna maisha mengine baada ya talaka pia.jichangaye na ndugu, marafiki n zako wenye mapenzi mema na wewe.
Bless you [emoji122]Mimi nishaipitia hiyo hatua. Kwa hiyo nitachokiongelea nina tajiriba nacho moja kwa moja.
Muomba talaka ni nani kati yenu? Mume au mke?
Kwa kweli talaka ni ngumu hususan huku kwenye hii jamii yetu. Sisi hatujazoea watu kutalikiana. Hivyo machoni mwa watu huonekana kama ni jambo geni au la ajabu hivi.
Kwa uzoefu wangu, talaka huwa ni rahisi zaidi kukabiliana nayo kwa yule mwombaji.
Na kama wote wawili mmeridhia ndo inakuwa bora zaidi.
Pia, ili kuwepo na amani, ni vyema kama hiyo talaka itakuwa ‘uncontested’. Yaani, hakuna kubishana bishana kuhusu sijui mali, kupingana kuhusu custody ya watoto, na mambo mengine kama hayo.
Kuhusu maumivu na hisia zingine ziambatanazo na kuumizwa kimapenzi, hiyo ni kawaida. Ni suala la kiuasili tu.
Hivyo kubali kuwa kuna nyakati utakuwa unasikia maumivu. Usijilazimishe kutokuumia. Acha asili ichukue mkondo wake. Na usirukie mahusiano mapya kwa matumaini ya kwamba yatakusaidia kusahau yaliyotokea.
Na baada ya muda utakuja kuizoea hiyo hali mpya, maumivu nayo yatapungua, na maisha yatasonga mbele.
Muda huponya kweli. Take it from me!
Good luck!
Wewe huhusiki?Wabobevu na wazoevu wa Talaka mkuje huku
Hapo ndo ukute ndugu ndo mlikuwa kiherehere wakati wanatalikiana,hapo lazima mtafutane kwa tochiTatizo kwa jamii zetu za kaifrika hizi ni jambo geni kwahiyo kama utatalikiana na mumeo na kwa bahati mbaya sana maisha yakakulazimisha uwe yegemezi aiseeeee utajuta kuzaliwa , sio mitusi aliokuwa anatukanwa dada yangu ile duuuuh hadi alitamani dunia ipasuke adumbukie na kupotea kbs. Baada ya mwaka na nusu ikabidi aende chuo akaja kuwa na maisha yake ya kujitegemea mwenyewe kidogo ikampa unafuu. Jambo la ajabu sana ana mimba na fununu zinasema ni mimba ya yule yule alietalikiana nae yapata miaka nane kumi iliyopita
Ushauri mzuri sana,Mungu akulindeJiulize swali;
Kwa nini napewa/naitaka hii talaka?? Kama mtu wako kakuchoka, angalia pia kilichomfanya kakuchoka. Penzi halizeeki bali hukua kila siku. Ilitokea nini?? Habari za kuvumilia ati hili nalo litapita tu sio kweli. Hatuvumilii kwenye penzi bali huwa tunalidai penzi letu. Ukifika pale mahakamani kataa hiyo talaka kuwa kama yeye kakuchoka, wewe hujamchoka.
Hizo dhiki unazoziona sasa ndio zitakuja kuwa msingi wa raha, furaha na amani baadaye. Kitu pekee cha kuchunga ni kuwa, isijekuwa pendo lako limeingiliwa na vijimambo vya nje. Hakuna ugomvi usio na suluhu. Mahakama itawapeni muda wa kujitathmini. Huo ndio muda wako wa kujitathmini. Kama jamaa amezamia kwa nyumba ndogo, wala usimpigie kelele. Mpe haki yake siku huko nyumba ndogo kuna matope tena kwa ufundi mkubwa bila kelele na kebehi. Wanawake wengi midomo yenu ndio inawaponza.
Mwisho jiulize; Labda alikukuta bado msichana, akakutoa usichana wako, amesha kukutotoa toto 2, 3, 4. Leo umesha kongoroka na ukichanganya na unayosema mateso kama ukiingia bafuni huwa unahofu kujianglia. Sasa unataka kwenda wapi?? Nasema; Komaa naye hadi bp imuue kwani akienda kazini akirudi akukute na bonge la tabasam na sifa kem kem kuwa hakuna dume ka wewe uliyenitoa usichana wangu. Imba hadi sikio lake liizoee sauti yako. Hakuna talaka kwa mkristo
divorce kama divorce kwa mtoaji (MDAIJI) yeye anakuwa amejiandaa ki psychology so haitamsumbua sana. kwa wewe unayepokea kuna changamoto zake nyingi....mara nyingi anayetoa/dai maana yake ana utayari wa ku move on either alone au kuna mtu ambaye yupo japo si kwa watu wote.Habari zenu
Nilikua naomba mtu aliyewahi kupitia kipindi cha talaka na mwenza wake hasa wanawake..tupeane experience kipindi karibu na talaka, wakati wa talaka yenyewe na maisha baada ya talaka..
Ilikuchukua muda gani ku move on?
Kipindi baada ya talaka ulifanyaje maisha yaendelee kama kawaida?
Na kabla ya talaka ilikuwaje
Hii itawahusu waliopitia talaka wakiwa wameshapata watt au ambao hawakubahatika kuzaa na wenza wao wakatalikiana wao kama wao
Nahitaji sana mnitie moyo mana nimechoka sana ndugu zangu ni majuto baada ya majuto..nimechoka sana sana lkn kama mnavyojua pamoja na yote talaka ina ugumu wake kiasi fulani ila bado nahitaji sana ishauri wenu
Tafadhali msitumie matusi nimewaomba kwa heshima ndugu zangu[emoji122]
Mwombee ushauri mchepuko wako EMHabari zenu
Nilikua naomba mtu aliyewahi kupitia kipindi cha talaka na mwenza wake hasa wanawake..tupeane experience kipindi karibu na talaka, wakati wa talaka yenyewe na maisha baada ya talaka..
Ilikuchukua muda gani ku move on?
Kipindi baada ya talaka ulifanyaje maisha yaendelee kama kawaida?
Na kabla ya talaka ilikuwaje
Hii itawahusu waliopitia talaka wakiwa wameshapata watt au ambao hawakubahatika kuzaa na wenza wao wakatalikiana wao kama wao
Nahitaji sana mnitie moyo mana nimechoka sana ndugu zangu ni majuto baada ya majuto..nimechoka sana sana lkn kama mnavyojua pamoja na yote talaka ina ugumu wake kiasi fulani ila bado nahitaji sana ishauri wenu
Tafadhali msitumie matusi nimewaomba kwa heshima ndugu zangu[emoji122]
hii maana yake yeye do mkosaji anajutia, chezea ngoma ya mchepuko weye! utaweza kuicheza...Tatizo umeshajipa na jina kabisa majuto
Hapana bibie, sijawahi ku_experience hicho kitu coz ni single boy[emoji56] [emoji56] [emoji56]Wewe huhusiki?
[emoji106]Hapana bibie, sijawahi ku_experience hicho kitu coz ni single boy[emoji56] [emoji56] [emoji56]