kamau ngilisho
Member
- Apr 14, 2012
- 39
- 3
Hivi hiki kipindi cha Mikasi hawana sehemu nyingine tofauti tofauti ya kuShoot zaidi ya pale Saloon?
kipindi kinaitwa MKASI na kazi ya mkasi ni kukata na unatumika sana saluni ndo mana inakuwa ivyo.
Hivi hiki kipindi cha Mikasi hawana sehemu nyingine tofauti tofauti ya kuShoot zaidi ya pale Saloon?
dah..tanzania parahisi..hizi takwimu zako ni kwa mujibu wa..??????
Mkishayajua maisha yao yatawasaidia nini? Badala ya kuangalia maisha yenu yaliyogeuzwa mzigo na serikali ya magamba?
just for entertainment na kupumzisha akili baada ya kazi kwa siku nzima ya J3, salun pale ndo gud and smple mitting point ambapo watu huweza ongea mambo kibao, si wapajua salun mkuu, sa wakakae wap kwingine
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?
ila aache kutuletea watu waongo bwana...wanaume waongo mpaka unajisikia aibu
nipo bwana mambo makubwa kama hayo ntayaweza wapi mie na natumia pua moja wangu,halafu sijui wanamdanganya nani amenitibua sana!shosti..wangu nimekumiss au nawe ulijitia dubai au ma hong kong nini!mia mia!...salama anaweka watu fake sana hata mimi nimechanika!
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?
Binafsi mkasi ndio kipindi pekee cha burudani katika luninga zetu hapa nchini ninachokifuatilia. Salama anastahili pongezi, ni ubunifu wa hali ya juu sana.