Kipindi cha mikasa EATV sikielewi

Kipindi cha mikasa EATV sikielewi

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,916
Reaction score
15,974
Hiki kipindi kwakweli huwa sielewi logic yake, naonaga ni kama maigizo zaidi kuliko reality. Hivi huyo muandaaji anakuwa anajuaje kwamba fulani na fulani hawapatani huko mitaani? Na je kama ni kweli hawapatani unawapatanishaje watu kwenye kamera?
 
umejuaje ni maigizo wakati unasema hukielewi? mimi nakielewa sana kinatumika kupatanisha walio kosana...
 
Back
Top Bottom