Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Wanaume kwani hatupiki Mkuu? Lazima aboreshe udambwidambwi.We nae mwanaume mzima unahangaika kuangalia vipindi vya mapishi?
Mkuu, angalia hapa labda unaweza ukafuta post yako, pia ingia kwenye YouTube andika "Dads can cook", angalia watu maarufu wanavyopika. Hahahaaa π πWe nae mwanaume mzima unahangaika kuangalia vipindi vya mapishi?
Nimempa mfano wa akina baba tena wenye majina hapa Afrika Mashariki, awe anaangalia hiko kipindi. "Dads Can Cook"Wanaume kwani hatupiki Mkuu? Lazima aboreshe udambwidambwi.
Usisingizie wana JF...sema Wanaharakati Uchwara!Hahahahaha hi vita ya Wana JF na TBC1 sijui itaisha lini. Mana kila siku kuna jipya
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna siku kile cha ITV mtangazaji aliweka vidole mapuani then akaendelea kushika nyanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwanaume asiyejua kupika ni bwege tu, kama hutaki kujifunza kupika acha kula.We nae mwanaume mzima unahangaika kuangalia vipindi vya mapishi?
Atakuwa mshamba wa bumbuli huyu asiyejua kuna umuhimu wa mwanaume kujua kupikaMkuu, angalia hapa labda unaweza ukafuta post yako, pia ingia kwenye YouTube andika "Dads can cook", angalia watu maarufu wanavyopika. Hahahaaa π π
HahahaaaAtakuwa mshamba wa bumbuli huyu asiyejua kuna umuhimu wa mwanaume kujua kupika
Nadhani wanaonesha hali halisi ya waandaaji wa msosi husika. Je mama zetu wa lishe je?Khaa, hivi umewahi kuangalia kipindi cha mapishi TBC1? Sijui wanatoa wapi wale wapishi, au wanawafanyia makusudi? Maana wanapika vyakula vya ajabu, vyombo wanavyotumia vina masizi utadhani vyombo vya geto. TBC1 ni channel ya taifa hebu boresheni hiki kipindi khaaaa.