Bavarian8
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 655
- 1,449
Umofiaa kwenu,,,kwenu,,,kwenuu..
Ivi wadau hii show ya akina Ofweneke ya Hello Mr. Right show ya Kenya ni kweli ipo real na pale mtu anaweza pata mtu sahihi au ni kuigiza tu kule na mapicha picha ?
Kama itakuwa ni kweli why hapa
bongo pia isianzishwe hii show pia ?,
Tujadiliane kidogo hapa wananzengo wenzangu manake haya mahusiano ya Sasa Yana changamoto balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app