Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

kipindi ni kitamu mno zaidi huwa napenda akialikwa bibie Gigy Money aiseee yule mwanamke kambinuka aiseee kalio kama mchina
 
Gigy money
 
Attachments

  • 1437857568974.jpg
    1437857568974.jpg
    21.4 KB · Views: 588
Leo nimemuona Joyce kilia anapiga promo yake kutakuwa na kitu kama show ya kufundisha kufanya uzinzi kwakweli mambo yaliyokuwa yanaongelewa ni uchafu mtupu!
 
Leo nimemuona Joyce kilia anapiga promo yake kutakuwa na kitu kama show ya kufundisha kufanya uzinzi kwakweli mambo yaliyokuwa yanaongelewa ni uchafu mtupu!

Ingawa Joyce Kiria ni shemeji na UKAWA lakini aliyokuwa anaongea hewani sijakubali kabisa ni full Aibu.
 
Last edited by a moderator:
Leo nimemuona Joyce kilia anapiga promo yake kutakuwa na kitu kama show ya kufundisha kufanya uzinzi kwakweli mambo yaliyokuwa yanaongelewa ni uchafu mtupu!

ndo matatizo ya kugundua utamu wa dyudyu ukubwani
 
Sioni maadili yoyote yaliyovunjwa kama ni viuno vinakatwa tokea enzi za mababu....na hata wakifungia watafungia vitu vingapi haya mambo yapo kila kona yamezagaa kwenye mitandao ya kijamii ndo usiseme ukifungia huku watu wanahamia huku.
Mwanamke wa kiafrica mwenye umbo la kibantu akikata kiuno anaitwa malaya na anavunja maadili Miley Cyrus akitwerk hakuna tatizo?What the https://jamii.app/JFUserGuide?...
 
Back
Top Bottom