EATV, Ongezeni Microphone (kinasa sauti) kwenye kipindi cha FNL.

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Kwa wapenzi wa kipindi Friday Night Live aka FNL, tunakosa ladha ya kipindi kwa kukosekana kwa vinasa sauti vya ziada kwaajili ya kutumiwa na wageni wanapokuwa Studio kwenye mahojiano. Mitindo mnaotumia kupekezana kifaa kimoja kinaongeza muda wa kipindi na baadhi ya wageni kuondoka bila kuongea hata neno moja, kitendo hicho kinawafanya kama wamekuja kuonesha sura. aka Kuuza Nyago.
 
Vituo vingi vya Tv hapa nchini suala la sauti ni methali ngumu sana kwao.

Sasa bora ya FNL kuna muda ITV wanapata aibu kwenye vipindi vyake hasa midahalo ya moja kwa moja kama Malumbano ya hoja. Yaani sauti zinakuwa kwanza na mwangwi na huo mdahalo wenyewe utasema wapo kwenye pipa la bati yaani sauti mbovu kuliko kawaida.
 
Back
Top Bottom