Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

kiborinangari

Member
Apr 24, 2015
90
0
Daaaaaah hii nchi sijui ni vitu gani hivi;

View attachment 270967 View attachment 270968


======

Habari,

Kuna hiki kipindi cha Friday Night Live (FNL), nilikuwa mpenzi wa kipindi hiki ila sasa nitaacha kabisa, kipindi hiki kinaenda kuvunja maadili yetu.

Nauliza TCRA mko wapi? Kama mlimfungia Jux kwenye nyimbo yake UZURI WAKO, kwanini mshindwe hii ya FNL kuwapa onyo huyu mtayarishaji kuhusu hawa wadada GIGGY MONEY NA MWENZIE KUZINGATIA MAVAZI?!

Watu wako uchi lakini TCRA mnaenjoy hili. Hebu siku moja mkae mtazame hiki kipindi muone hao kina Dada walivyo.

Kwa wanaotazama wanajua kile nachosema. Kipindi kinaenda kuwa sehemu ya kuvunja maadili ya kitanzania.

Mtu anavaa bikini hiyo inaonekana, matiti hayo nje nje.

View attachment 257924
Aisee kama mambo yenyewe ndo haya ntakuwa najitahidi kila ijumaa kukisikilizia hiki kipindi, si unaona neema hizi?
 

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
1,195
Pole, tunafaidi Kweli Yule mfupi kdg Nakula mie. Wametoka nilikuwa nawasubiri kwa nje nå hapa shapiga bao mbili, du unajua tena wikiendo Imeanza?
 

kende

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
3,533
1,250
kuna ka malaya kapya hatari sana kuliko huyo wa kilasiku Gigimoney
 

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
12,924
2,000
Hawa wadada wanatafta biashara aisee hafu vinguo walivovaa na kutingisha makalio.
 

pantaloo

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
375
225
Duuu aisee hawa basata wamelala nini hawa watafanya hiki kipindi kitafungiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom