herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
utaujuaje umri wa akili?? ww binafsi una umri gani wa akili?Kipimo cha akili ni ule uwezo wa mtu kutafasiri na kuchambua taarifa mbali mbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaaluma yaani Abstract reasoning. Na ili uweze kupata kipimo sahihi cha akili ya mwanadamu unatakiwa umri wa akili ×100 halafu gawanya kwa umri wa kuzaliwa unapata jibu. Umri wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo afanyayo mtu.
Kuna mwanasaikolojia Alfred Barnet 1904 alitambulisha nadharia ya namna ya kupima uwezo wa akili ya mwanadamu, kuwa ni kuwaanisha umri wa kuzaliwa wa mtoto na umri wa akili.
Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).utaujuaje umri wa akili?? ww binafsi una umri gani wa akili?
Ndio nini sasa hiki, mbona akiendani na mada husika, wakati mwingine mnakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri."Kisha akamwambia mwanadamu, Tazama kumcha Bwana ndio hekima, na kujitenga na uovu ndio ufahamu". AYUBU 28:28
Mkuu si'hatari hiyo au mimi sijaelewa?...ni typing error au nini au umemaanisha 100(Mia) coz jamaa anasema isiwe chini ya 89,yaani hapo ikishuka inakuwa sio dalili nzuri.Mm nimepata jibu 10
Huu unaweza kuwa ukweli,nimefuata njia hii naona pana ukweli fulani.Rafiki ujaelewa wapi? Nimesema kutambua au utajuaje kuwa una akili chukua umri wako na matendo utajua una una akili kiasi gani. Kwamba IQ(intelligent quotient) is the number that ranges from 0-200+ and ratio that is divided by comparing mental age to chronological age. The intelligence quotient is defined as 100 times the mental age(MA) divided by the chronological age (CA).
Hence IQ =mental age /chronological age ×100. Kwa mfano sasa wewe una miaka 25 nimeona kwenye profile yako, Lakini swali umeuliza kama mtoto mwenye miaka 15, Ili kutambua uwezo wako : 100 × 15 ÷25 fanya hesabu hiyo jibu utakalo Pata ndio uwezo wako kiakili, kumbuka jibu likiwa wastani wa 80-89 upo Chini ya wastani, ikiwa 70-79 una akili duni, ikiwa Chini ya 70 una utindio wa ubongo.
Sio Pana ukweli huo ndio ukweli wenyewe ndugu, ukitaka kujua uwezo wa akili ya mtu Wala usipate tabu tumia njia hiyo nilitoa hapo juu. IQ score higher than 100 means that the person is mentally advanced for the age and has high IQ and IQ less than 100 means just the opposite.Mkuu si'hatari hiyo au mimi sijaelewa?...ni typing error au nini au umemaanisha 100(Mia) coz jamaa anasema isiwe chini ya 89,yaani hapo ikishuka inakuwa sio dalili nzuri.
Huu unaweza kuwa ukweli,nimefuata njia hii naona pana ukweli fulani.
Hapa sio typing errorMkuu si'hatari hiyo au mimi sijaelewa?...ni typing error au nini au umemaanisha 100(Mia) coz jamaa anasema isiwe chini ya 89,yaani hapo ikishuka inakuwa sio dalili nzuri.
Huu unaweza kuwa ukweli,nimefuata njia hii naona pana ukweli fulani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe umepigajee hesabu mpaka upate hiyo 10? nahisi umekosea uwezi kupata 10 kumbuka ikiwa Chini ya 70 ina maana wewe ni unakili ndogo sana yaani tahiraWalaah! Hujakosea ni hivyo hivyo nimepata 10 mpaka nimeanza kujiogopa...labda mm ni..........au huyu jamaa aliyetoa hiki kipimo ni muongo maana akili yangu inachapa kaz vzr tu ila ndio 10 sasa
Maana yake nini?Hisa ya akili
Labda ngojanirudie ten a.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe umepigajee hesabu mpaka upate hiyo 10? nahisi umekosea uwezi kupata 10 kumbuka ikiwa Chini ya 70 ina maana wewe ni unakili ndogo sana yaani tahira
Nadhani ulianza na jibu!Salaamu kwenu!
Ninafahamu maana ya akili ni uwezo au weledi wa kutafuta jibu au utatuzi wa tatizo au changamoto.
Sasa je ni nini kipimo sahihi cha akili ya binadamu?