KIPIMO HALISI CHA MAISHA

BIG THINKER

JF-Expert Member
May 20, 2018
680
1,420
Watu wengi wanakuja na polojo zao kuhusu kipimo Cha maisha,Leo mm nakuletea kipimo HALISI Cha maisha ya mafanikio.


Tukumbuke Kuna mafanikio ya aina tatu

1.kimwili.

2.kiroho.

3.Kinafsi.



1. MAFANIKIO KIMWILI


Kipimo Cha mafanikio kimwili hupimwa kwa kuchukua watu 1000 na kuwauliza nn matamanio Yao 10 ya kimwili ambayo Kila Mmoja anatamani apate kwenye hayo unachukua matamanio 10 yaliyotajwa na wengi.

Watu watataja gar, nyumba, nk
Ili mtu aonekane amefanikiwa ni yule mwenye vitu VINGI kati ya hivyo vitu 10 vilivyotajwa na wengi.

Hivyo Leo ww Ili ujipime kwenye maisha yako kama umefanikiwa jiulize ni vitu gan 10 ukiwauliza watu 1000 wanavitaman watavitaja sana kama una hivyo vitu kumi ww umefanikiwa kimwili.


2.MAFANIKIO KIROHO

nakuja kwanza niangalie mechi ya yanga.

Yanga ikifungwa huu Uzi unaishia hapa.
 
feb0177e47ee3a0f89ca2a369a9f4f9a.jpg
 
Wacha nimalizie thread

2. Mafanikio kiroho.

Kila roho inatakiwa iwe na mahusiano mazuri na Muumba wake( tunamwita Mungu)
Mungu wa Wakristo anaitwa "Mimi niko ambaye niko"
Mahusiano hayo yawe kwenye level ya kuwasiliana kama vile unavyowasiliana na mzazi wako wa kimwili kumsikia akikupa directions maonyo nk na wewe hapo kuwasilisha hoja zako naye akakusikiliza. Kutumia nguvu zake kukemea uovu wa Ibilisi juu yako na wengine na kuzishindaa kabisa nguvu pinzani.

Ukiona huwezi kumsikia Mungu anaposema na wewe, jua bado hujafanikiwa kiroho.


3. Mafanikio ya Nafsi yako.

Uhuru wa nafsi ndiyo mafanikio yako.
Nafsi yako ikiwa kifungoni (mateka wa shetani) basi utakuwa unapita kwenye changamoto za kila namna,
1. Utaonewa na karibu kila atakayekutana nawe,utadhulumiwa, utadharauliwa nk
2. Utaugua magonjwa yasiyoelezeka, ajali za mara kwa mara
3. Utafanya kazi kubwa na matunda yake hutayaona.
4. Ndoa na mahusiano yako na watu wengine yatashambuliwa Sana.
5. Kusongeka kwa nafsi ( siku hizi yanaitwa magonjwa ya akili, mfano kutamani kujitoa uhai, fikra hasi kila wakati, kujitenga na watu nk)
6. Kutokuridhika,tamaa iliyopindukia, kushindwa kujizuia matamanio ya kimwili, ulevi na anasa.
7. Kushindwa kufanya mema, kwa maneno mengine hakujua baya na jema,nimeshakutana na mtu aliyekuwa akichagua tu uovu, baada ya kufunguliwa nafsi yake alikiri kuwa alipokuwa akitenda ule uovu alikuwa anashangaa sana akiambiwa kuwa amekosea,amefanya vibaya, alihisi yuko sahihi sasa anaona alikuwa akikosolewa kwa haki.
Na mengine mengi,

Nafsi yako ikiwa huru utaona kuwa ✓unaishi wakati wazungu wanasema (live the moment) mfano ukiona ndege utamwangalia ndege na utamwona ndege na uzuri wake, na siyo uone vitu vingine ndani ya ndege kama kelele, usumbufu, uchafu wa kinyesi chake, ulozi na ushirikina nk
Ukiona mto au ziwa au bahari basi utaona maji mazuri, utaona uhai wa viumbe, utaona utulivu na burudiko, usafiri wa kukutoa mahala kwenda pengine. Hutaona hofu na ajali na vitu kama hivyo.
✓Utayapenda maisha,utayafurahia,utaridhika.
✓Utaijua thamani ya wewe kuwapo ulimwenguni.
✓Magumu utayachukulia kama njia za kufungua fursa mpya.
✓Utaweza kutofautisha zuri na baya.
 
I repeat, "USELESS THREAD" uzi una masaa 22 hata comments 15 haujafikisha bado unauliza kivipi!
Binadamu wanakawaida ya kutopenda kufatilia kitu kigumu, ningekuwa nimeanzisha swala la kukamatwa ugonj hapa ningekuwa na comments mia kidogo

Nyanoko tomboloko nyanda.
 
Binadamu wanakawaida ya kutopenda kufatilia kitu kigumu, ningekuwa nimeanzisha swala la kukamatwa ugonj hapa ningekuwa na comments mia kidogo

Nyanoko tomboloko nyanda.
Nelelwaga nyanda, onidokela, ndoho mhayo, nadalangilwe chene. Nalegowela ya nhana unidokela. Haya bana
 
Unatafuta kiki kupitia mimj hum JF sitakupa kiki nitakupuuza tu
Nan atafute kiki kijana. Una ubongo mdogo sana. Yaan wewe ndio unipe kiki kupitia hii useless thread yako yenye siku zaidi ya 3 na comments chini ya 20. Hujitambui

Eti big thinker
Ndio ume think hapo ukaona unanipa kiki
 
Nan atafute kiki kijana. Una ubongo mdogo sana. Yaan wewe ndio unipe kiki kupitia hii useless thread yako yenye siku zaidi ya 3 na comments chini ya 20. Hujitambui

Eti big thinker
Ndio ume think hapo ukaona unanipa kiki
Hokotola ntumba nyanda, lekaga tuja.


Nakosanga sanga....

Nakamamayo kalenalino lemo aliyoemiswaki omundugu kaji.
 
Back
Top Bottom