Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,952
- 34,959
Habari
Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV)
Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi.
Kuna kipimo cha kutoa sample mdomoni hiki hakipatikani sana maeneo mengi.
Je kipi ni kipimo halali na kupima HIV ambacho unapata bila kificho wala taabu na wapi unapata kirahisi.
Ahsante.