Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
What are you looking for?
Imani imeisha, achaneni kwa usalama!
Unahisi unaibiwa nn lol
Kuachana ni hatua ya mwisho kabisa mkishindwana na umeona mtu haambiliki
Kwa nini uishi kwa kuchunguza mabaya tu??
Hakunaga makombo bwana...
Sasa kama mnaweza kuongea Kama 2 adults na kureason kuna umuhimu gani wa kumnusa K yake kama ametoka kutiwa au sio!?
mwanamke au mwanaume?
Hivi kama mtu unataka kumgundua mpenzi wako kuwa ametoka kukucheat a day before hamjakutana au the same day mmekutana kimapenzi ni mambo gani ya msingi yanaweza kukufikisha kuibua ukweli huo hasa pale muwapo kwenye majambozi?

Nikikujibu umnuse K utasikia harufu ya shahawa?
Au uichunguze K kama ina utelelezi utelelezi?..
hivi jamani kwanini kwanza uish na mtu usomwamiani hadi ifikie huko?..
Mwambie dadaangu..
Unajua hata sielewi mtu anatoa wapi guts za kuishi na mtu ambaye kila wakati anamuwazia kuwa anamcheat??