Kipimo cha HIV

Walimueleza kuwa yupo negative aje tenaabaada ya mwezi mmoja

Pia asante kwa maelekezo mkuu .
Fuata hayo maelezo uliyopewa huko hospital, ni kwamba upo salama kwa sasa, rudi tena huo Muda ulopangiwa Ila acha ngono zembe
 
Mkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
Kauli kama hizo ndio zinautwa unyanyapa muhusika hata ka majibu yangekuwa HIV positive huwezi kumwambia ana umeme grade ya taifa.tuwe wastaraabu jamani.
 
Aende Kituo Cha Afya/Zahanati Za Serikali Hupima Bure Kwa Kutumia Vipimo Vya Unigold Ambayo Majibu Yake Ni Mubashara
 
Walaaniwe walioleta huu ugonjwa maana kwa sasa wazee wanatuzika na wao wanabaki kulea wajukuu so sad.
 
CC [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] and [HASHTAG]#Kaveli[/HASHTAG]!

Waafrika hawaamini katika research!

Wanavokaririshwa ndo hivohivo!

Am very confortable after realising the truth.

ukianza tu kutumia ARVs ndo mwisho wako!utakonda na magonjwa yatakunyemelea! NIAMINI MIMI.
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Hiv rapid test atumie sd bioline hiv1/2 3.0 ndio kipimo kilichopo kwenye national allogarthm kwa sasa kama sd bioline itatoa positive asirudie sd bioline tena bali atafute ungold a comfirm majibu yake kama yatatoka negative basi asitumie sd bioline ya box hilo tena afungue box jingine na achukue cassete nyingine apime pia anaweza kaa siku 14 halafu arudie tena kama ina muwia vigumu pm me nitamfanyia test hizo pia nitaongea nae tuliweke sawa
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Kwa nini nae kaenda kujitia presha na haya mavipimo yasiyona uhakika??binafsi watanipima ukimwi nikiwa hoi kitandani na nisijue kama wamenipima.
 
Mkuu maabara ukipimwa kipimo cha kwanza kikionesha utata i.e kuchora 2 lines wanarudia na kipimo cha aina nyingine. Nacho kikionesha 2 lines basi confirmed. Ila kikileta utata as kikichora 1 line then unaenda kwenye kipimo kikubwa zaidi kinachoweza kutoa majibu even within the window period.

So for this case ni vyema muhusika akaenda kwenye hospitali zinazotoa huduma ya kipimo kikubwa
Huuu ndio uhuni wa vipimo vya ukimwi
 
Je, ni kila hospital aloenda au make umesema cha kwanza kina react but cha pili haki react pia tufaham alrudia cku hyo hyo au
 
Je, ni kila hospital aloenda au make umesema cha kwanza kina react but cha pili haki react pia tufaham alrudia cku hyo hyo au
Ndio alirudia siku hiyo hiyo mkuu

Ndio akaambiwa atulie kwanza then akatizame tena
 
basi ndugu yako atakua hana HIV itakua ana magonjwa mengine ya zinaa itabidi mumpime magonjwa ya zinaa
 
Back
Top Bottom