Kipimo cha HIV

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
 
Ni vema akarudia kupima kwenye hospitali au kituo kingine cha afya ili kupata hakika vizuri. Hapo mashaka yataisha.
Nashukur kwa ushauri Namnukuu

Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile

Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative

Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
 
react inamaana gani?
react na negative vinatofauti gani
Kama kuna makosa nivyema kusaidiana wakuu

Nitumie lugha sahii nikwamba kipimo chakwanza kinasoma mistari miwili ila kipimo cha pili kina soma mstari mmoja
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Kwan wewe ulikua unataka lipi
 
Ku react inaonesha positive yaaan kuna maambukizi lakn isipo fanya hivyo inakuwa negative maanayake hakuna maambukizi
bado hueleweki............ yaani ukienda unapimwa mara mbili ama nini? tafadhani andika kwa kirefu na kwa kiswahili sentensi zote....
 
Mkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
kwa hiyo wewe tayari unamajibu yako cyo,umeleta tu mada hapa kutusanifu,au wewe unataka jibu gani uambiwe
 
Mkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
Wanadamu wanasahau wakiwa bado wanapumua wana safaris ndefu sanaa duniani hivyo sivyema

Kumnanga mwenye janga kwani huwezi jua saa wala wakati wako

Achaaongee mkuu maana anahaki yakuongea

Kuufuraisha moyo wake ila atizame sanaa dunia hii mwenye mapumziko nimfu tu bhasi ulie hai bado unamengi yanakukumba

Nakukuandama
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Kwani yeye anapenda jibu lipi zaidi?
Negative au positive?
 
Back
Top Bottom