Kipimo cha HIV

Determine ikireact na unigold isipo react inawezekana hana maambukizi kuna magonjwa mengine kama ya zinaa kwa mfano kaswende. Kama una kaswende determine inareact kama HIV positive. But unigold ikisema negative ni true
 
Naona wewe ujui unachokiandika(HIV ni aina ya virus ambavyo vipo na vyaweza leta upungufu wa kinga mwilini.na UKIMWI hapo upo sawa ni upungufu wa kinga mwilini ambao mtu anaweza kuwa nao hata akipatwa na malaria typhoid na magonjwa mengine kadhaa.HIV ni kifupisho cha maneno human immunodefiency virus sawaman mvua.
Hao HIV Virus ulishawahi kuwaona..???
Kama ulishawahi kuwaona tuwekee picha yake hapa na sie tuwaone...
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Kwani kuna ugumu gani kuendelea na vipimo? Ngoma kupima ni bure,apime hata mara 10 kujihakikishia
 
Back
Top Bottom