OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
- Thread starter
-
- #61
nilicheka sana,nikakumbuka mbunge mmoja wa CCM anasema hata wao hawakujuaKuna mchangiaji Lipiga simu alinichekesha eti alisema TRA eti nao hawajashirikishwa.ndio maana wanashindwa kutetea hoja.
Kwa akili zako hizi,utakuta wewe ndio unalipa kodi mara tatu tatu na wala hujui,sababu kichwani kweupe,nime jiridhisha na hii post yakohivi kwani wabunge wa upinzani,hawakuchaguliwa kipindi hiki?au wanakazi zao za nje muhimu zaidi..najaribu kuwaza kwa sauti
Kwa kumbukumbu zangu, haina haja ya kwenda Rwanda, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee BWM ndiye muanzilishi wa VAT kwa Tanzania. Anaweza kuulizwa kuhusu miamala ya fedha ni VAT INCLUSIVE au VAT EXCLUSIVE. Kama ni Inclusive, basi Benki zilipe(ingawa lengo la VAT hasa ni kuongeza thaman ya bei ya bidhaa/huduma)! Na kama ni VAT EXCLUSIVE, basi KISHERIA, mwananchi anatakiwa alipe.Tusubiri wataalam wa kodi kutoka Rwanda Huenda tukapata ufafanuzi juu ya hili la VAT
MFUMO = Namna.mkubwa,hivi mfumo ni nin?hizi hoja zinazo anza na mfumo huwa zinakanganya sana
mkuu hili povu lote la nini?nimeuliza wabunge wa upinzani walikuwa wapi wakati wa hili linaendelea..si ungejibu tu!au wanatutea kwa nje?ikiwa jinalao tu wa-bunge; ilibid wawe ndani,ndio maana nauliza mkuuKwa akili zako hizi,utakuta wewe ndio unalipa kodi mara tatu tatu na wala hujui,sababu kichwani kweupe,nime jiridhisha na hii post yako
kwa hiyo mkuu wanaposema tuondoe MFUMO maanake tuondoe NAMNA,now I see...MFUMO = Namna.
Hapa kwetu, Bunge sio chombo cha kuisimamia serikali. Hapa kwetu bunge linaamrishwa na serikali na lenyewe linabaki kulalamikalalamika tu. Kwa mfano, wakati wabunge wanaona jambo fulani si zuri kwa jamii, still wanaiconsult serikali kupata mawazo badala ya kutoa mwongozo.
Huyu unayemuona akikalia kiti cha spika, katoka serikalini. Leo hii ataweza kuisimamia serikali?
Mbunge wa upinzani anauliza swali, anatokea mbunge wa CCM kujibu hilo swali na vijembe juu as if limeulizwa Lumumba. Huo ndio mfumo usio rasmi wa bunge letu. Na haya tunayoyaona ni matokeo ya huo mfumo wa Bunge lisilo na madaraka.
Unajaribu kufanya mazungumzo, lakini ni mazungumzo ya kipumbavu.kwa hiyo mkuu wanaposema tuondoe MFUMO maanake tuondoe NAMNA,now I see...
Kukimbia was the best option mkuu. Kwa muungwana, kupewa kazi ya kwenda kusema rangi ya damu ni samawati inalazimu ujitoe fahamu kweli kweli!Kwenye hii issue inaelekea kuna communication breakdown kati ya wadau-serikali (wizara, TRA), bunge, na mabenki(Benki kuu na Bank za Biashara).
Mabenki inavyoonekana wametafsiri vizuri kile kilichopitishwa na ndio maana Gavana anawaunga mkono. Bunge sijui kama walielewa wanachofanya kwani ndio wamepitisha kitu ambacho si sawa. Lakini tatizo kubwa ni kati ya TRA na serikali.
TRA ndio wakusanyaji wakubwa wa kodi kwa hiyo wanatakiwa wajue maana ya neno vat na mchakato wa kukusanya. Imekuwaje washindwe kumueleza waziri ya kwamba anachotaka sio vat? Na Bunge wameshindwaje kujua tofauti ya dhamira ya serikali (watoa huduma walipe kodi na si wananchi) na sheria ya VAT? Kulikuwa na mawasiliano kiasi gani kati ya TRA na Wizara kwenye hili?
Au hakuna anaetaka kumueleza mfalme (serikali) kwamba ingawa dhamira yao ni sawa kiuchumi lakini haiendani na sheria yetu ya VAT.
Nafikiri ndio maana TRA walikwepa kikao cha jana-wanajua wameshalikoroga (kama walishirikishwa) au serikali sio sikivu mpaka sasa wamekwaa kizingiti. Labda hili itabidi lirudi tena bungeni kama issue ya simcard.
Je wabunge wa UKAWA wangeweza kuliona hili? Sijui-lakini kwa majukumu ya upinzani ambayo hujumuisha kutafuta matobo katika miswaada ya serikali kwa darubuni kali zaidi, inawezekana wangeliona hili.
oky,i got the point...eenh kuubadili "MFUMO" ndio tunafanyaje sasa,tunatoa CCM tunaweka "CHADEMA" ndio hivi mkuu au imekaaje?Unajaribu kufanya mazungumzo, lakini ni mazungumzo ya kipumbavu.
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuondoa mfumo...bila shaka ni kuubadili. Namna tunavyoenenda ndio mfumo wetu, haijalishi ni rasmi au siyo rasmi.
Hakuna mbinyo wowote wao wangekomaa tu na hapo ndiyo wangeona wanatetea wananchi wao.Hebu kama una akili njema ambazo hazijaathiliwa na gambaz toa mbadala wa nini wangefanya Ukawa kuendelea kukaa bungeni kwa mbinyo ccm waliowapa?. Ama mngeanza kulaumu kuwa haya yote yalipita UKAWA wakiwa bungeni ili kuhalalisha uozo wa chama cha magambaz.
Hakuna mbinyo wowote wao wangekomaa tu na hapo ndiyo wangeona wanatetea wananchi wao.
Kila kitu lazima upiganie ukisusa wenzio wala