Ni mmoja tu kaongea ukweli lakini wengine wamekuwa wanafiki watupu.haya mambo yamekuwa ya maajabu. yaani unaangalia tv unaona mtaalamu anachokiongea sio anachokiamini kwasababu yakuwa na hofu. wanabaki kusifia sifia tu.
Ni mmoja tu kaongea ukweli lakini wengine wamekuwa wanafiki watupu.haya mambo yamekuwa ya maajabu. yaani unaangalia tv unaona mtaalamu anachokiongea sio anachokiamini kwasababu yakuwa na hofu. wanabaki kusifia sifia tu.
imebaki akibishana na Mtangazaji. Kabisa jamaa kang'ang'ana kwamba VAT inaweza kulipwa na benk,kakataa sheria na principles zinazungumza nini kuhusu VAT. Mwanzo nilijua ni afisa wa TRA!!!halafu mwisho naye analaumu wabungeKwa mtu aliyefuatilia kwa makini kipindi hiki cha leo na kuzisikiliza kwa makini hoja za Ngatunga basi mtakubaliana na mimi Tanzania kama Taifa tuna tatizo kubwa sana ambapo kuna watu wameamuwa kumdanganya Rais mchana kweupe.
Kuhusu wabunge wa ccm mimi sina tatizo nao sijawahai kuwapigia kura hata siku moja, mimi nawapa pole wale ambao ndio washiriki wa kuwapa kura hawa mashetani, hizi kodi hazibagui itikadi, we will share this pain.
Wewe ni mbulula na hujui kwa nini wanatoka na Lowasa anahusikaje ni kama samaki anayefuata maji pole.Hata wakibaki bungeni hawapo huru na hawapewi nafasi ya kuchangia lolote wabaki kufanya nini bungeni? Lowasa anahusika nini na wabunge? Umekariri akili za madalali wa siasa wa CCM kila kitu unajua ni lowasa, Tambua kuwa bungeni sasa kuna udikteta mkubwa kuanzia Naibu spika mpaka kamati ya kidikteta ya mkuchika , wabunge wa ukawa hawapewi nafasi ya kuchangia chochote.
KIRUSI SIASA KULIPOINGIZWA KWA SPEED YA HATARI KWENYE PROFFESSIONALISM.
SASA WAKULIMA TUNAONEKANA KUWA NA UWEZO MKUBWA KULIKO WASOMI TEGEMEWA.
Ni wewe na wenzako kina usitulie akiwemo mkuuchiiikaa ndo mmetia aibu ya mwaka maana mkulu aliwatuma mfanye kila liwezekanalo kuhakikisha wabunge wenye macho ya kuchunguza hata ufyuzi wa white house wanaondolewa, mbunge anaomba taarifa tulia na mkuchika wanamuundia kamati ya kumfukuza, ndo ujue bila upinzani mwanachi wa kawaida atahujumiwa mno.Waliotia aibu zaidi ni ukawa ambao wametumwa na wananchi wao kwa maagizo ya Lowasa wanatoka nje na kuwaacha wananchi bila ya uwakilishi
Walitakiwa wawe makini kila pointNi wewe na wenzako kina usitulie akiwemo mkuuchiiikaa ndo mmetia aibu ya mwaka maana mkulu aliwatuma mfanye kila liwezekanalo kuhakikisha wabunge wenye macho ya kuchunguza hata ufyuzi wa white house wanaondolewa, mbunge anaomba taarifa tulia na mkuchika wanamuundia kamati ya kumfukuza, ndo ujue bila upinzani mwanachi wa kawaida atahujumiwa mno.
Haya ndiyo matatizo tuliyonayo viongozi sasa wanakuwa wanafiki na wanathubutu kusema uongo ili kumfurahisha mtu mmoja. alphayo k idata ndiyo alitakiwa kuja kwenye kipindi tumuulize maswali kutokana na maneno ya ovyo na upotoshaji alitamka kuhusu VAT. Na kwa imani yangu akithubutu kwenda benki hata leo atakatwa VAT na hatakuwa na uwezo wa kuhoji. Tuache usanii jamani tukiendelea hivi kufurahisha mamlaka za uteuzi hatuwezi kupata maendeleoNimesikiliza kwa makini kipindi na licha ya kuwa mshabiki wa serikali ya awamu ya tano, lazima nikiri kuwa TRA katika hili wameniangusha.
Pole mko wengi mnaodanganyika na KANZU MPYA ikiwa sheikh niyuleyuleNimesikiliza kwa makini kipindi na licha ya kuwa mshabiki wa serikali ya awamu ya tano, lazima nikiri kuwa TRA katika hili wameniangusha.
VAT unalipa wewe au BankWewe ni mbulula na hujui kwa nini wanatoka na Lowasa anahusikaje ni kama samaki anayefuata maji pole.
Unatakiwa unapokuwa unawakilisha wananchi unakomaa kama unatkili husikilizwi basi huna sifa ya kuwa mwakilishi wa wananchi.
VAT unalipa wewe au Bank
Umuhimu gani wasaliti wakubwa wa Wanainchi hao....kutoka kwao kumesaidia nini sasa na mkanganyiko umeshatokea?Hapa ndo umuhimu wa wabunge wa upinzani unaanza kuonekana.
Haya ndiyo matatizo tuliyonayo viongozi sasa wanakuwa wanafiki na wanathubutu kusema uongo ili kumfurahisha mtu mmoja. alphayo k idata ndiyo alitakiwa kuja kwenye kipindi tumuulize maswali kutokana na maneno ya ovyo na upotoshaji alitamka kuhusu VAT. Na kwa imani yangu akithubutu kwenda benki hata leo atakatwa VAT na hatakuwa na uwezo wa kuhoji. Tuache usanii jamani tukiendelea hivi kufurahisha mamlaka za uteuzi hatuwezi kupata maendeleo
Umuhimu gani wasaliti wakubwa wa Wanainchi hao....kutoka kwao kumesaidia nini sasa na mkanganyiko umeshatokea?