Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

Kwani umelazimishwa kuangalia ITV angalia star tv au tbccm kwani huko utapata unachopenda kama kumsifia 6 na rasimu yake.
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wûanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

Mkuu kwani umelazinishwa kutazama ITV? Tazama ATN usipate BP bure!
 
Kama sio ITV tusingepata kujua mambo tunayofafanuliwa sasa. Mleta uzi huu ndo wale waliomfukuza Tido Mhando kule TBC kwa kuwa alikuwa anaendesha kituo kile kitaaluma na sio kama remote control ya CCM. Heko na Hongera ITV!
 
Hiv kuna tv channel ya watu wanafiki kama tbc? unakuta mtangazaji anamuuliza kiongozi wa chama fulan leading questions yan maswali yenye majibu ya wazi waz kuonesha chuki kwa kikundi flan au chama flani huku anajichekesha chekesha kama p.unga, wote tuna njaa ila hii ya wajamaaa zetu ni kichefu chefu kabisa, mods acheni niwatukane hacra zangu zipungue.
 
Hapa ndipo tunathibitisha kuwa Wachaga ni wabaguzi!

Wachagga wamekubagua kwenye nini we maskini wa mali na fikra? Ujinga wako wa kuzaliwa unakufanya uwe mwehu. Umefeli maisha kwa uzuzu wako unatafuta justification kwa wachagga.
 
Wachaga wamejenga kila kona Tanzania hii ila hawakubali makabila mengine kujenga kwao ni wabinafsi na roho mbaya
Mavipunda,hata ukifuatilia historia za dada zako utagundua kuna wachaga wamewachapa nao
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

maharamia mwaka huu mtapasuka wananchi ndo tumeamua hivyo hata facebook huna utoe maoni
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.
Kawaulize Tbc kama kuna siku walisha changanya watoa mada siku zote wanatafuta watu ambao hawapo kinyume nasirikali.Halafu ukiona umefungulia ITV Daima ukaona kuna kipindi haki kupedezi wewe nyanyuka mdogomdogo utuachie ITV Yetu usilete uchafu humu Jf ukategemea kuna mjinga mwenzio atakusapot
 
Itv ni media mwanachama na kile chama cha machame mkuu,,mambo kama izi kawaida sana kwa hii channel...!
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.
yaani upuuzi kabisa. eti kwenye katiba inayopendekezwa ingeonyeshwa jinsi mwanamke anajifungua. sijui hawa vijana siku hizi wanasoma vyuo gani! mtu hajui kitu amewekwa kwenye tv kwa kua anafikiri kama mbowe.
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

Kwanini ulijiita jellyFish?
 
Last edited by a moderator:

Umeona eee!!Huyo wa mewani aligombe Ubunge kwa tiketi ya CDM akapigwa chini.

BAK wape elimu juu ya uchakachuaji na ufisadi wa Sitta.. Tuendelee kuelimisha hawa PUSI.
Jaribu kuhakikisha ule mchakato wa kuwapa ela (isomeke hela) hawa Wajumbe 3 Manake hali kwa sasa ni mbaya zile za siri (kura) wengi wamepiga hapana. Naomba tukutane ofisini kwangu nawajulisha Lukuvi, Wassira na Migiro.

SS (Sawel Sitta)

LOL!!!! Kweli Akidi imetimia!!!!

kama mpo sawa mlivyo iandika iyo katiba kwanini mnaogopa kujadiliwa na wananchi wakati mnasema ni maoni ya wananchi ndo mme yaandika?
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

Kaangalie TBC,CCM
 
Back
Top Bottom