Kipima Joto live ITV na Vikao vya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima Joto live ITV na Vikao vya Bunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE PERFECT, Jul 22, 2011.

 1. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda, Itv ipo Live now, na kipindi chao cha kipima Joto . ok Joto lipo Juu mada ni VIKAO VYA BUNGE, nafuahishwa na mgeni mwanaharakati Iron Lady mama Anania Nkya anayocoment Mfano anasema Hakuana haja kwa Mbunge kuanza kushukru kila mtu hadi familia pia issue ya viti kuwa wazi bungeni. yupo na Asifa Uhusiano wa Bunge anajikanyaga kanyga tu na Suti yake wadau inasikitisa huyu mama naona point zetu za Jamii forum anawasilisa Vema pia kuna Pro Tigiti
   
 2. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  afisa uhusiano wa bunge anajalibu kutetea ubovu jama kapiga sim kaamuwa kumponda
   
 3. T

  The Priest JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu prof wa wapi huyu?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  OUT!
  Chuo Kikuu Huria!
   
 5. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  prof naye ana points sana na katulia katika uchangiaji wake. halikadhalika wachangiaji wametoa mchango mzuri sana. wanasema wabunge wanalewa marupurupu katika mda mfupi baada ya wananchi kuwachagua. mapengo (viti tupu) ndani ya bunge na kugeukiana na kusogoa kunakowezeshwa na viti vya starehe wakati mijadala inaendelea vinakera wananchi. kuna mashindano ya mavazi na usukaji wa nywele.
   
Loading...