Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

jellyFish

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
316
Reaction score
127
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi.

Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii.

Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.
 
Wachaga wamejenga kila kona Tanzania hii ila hawakubali makabila mengine kujenga kwao ni wabinafsi na roho mbaya
 
ni kweli mkuu huwezi kumdharau mchaga popote tanzania kwa mchango mkubwa wa maendeleo walio yafanya kwa nchi ihi.
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.
unataka station zote zifanye kazi ya kuwasifia na kuwapamba kama TBC.
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

huna pakulala mkuu? kalale.
 
ulicho post kina akisi upeo wako wa mawazo maana hadi hapo ulipo hujui katiba iliyo pendekezwa na wanachi ni ipi.kwakuwa wewe ni zuzu subiri mazuzu wenzio watakuja kukuunga mkono kama huyo zuzu mwenzio MSALANI. Ila kwa kukusaidia ni kwamba ITV ina fanya kazi zake kulingana na matakwa ya wananchi na si matakwa ya mafisad. Ndio maana wanaweka hadi midahalo ya wazi ili kila mtu atoe lake la moyoni. Lakini katu! Hutakuja kukuta mdahalo wa wazi TBC AND CO.
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.
Wanaluchoma kumoyo
 
Kwa jinsi ulivyo mpuuzi unadhani kila kitu kitakwenda jinsi wewe na wenzio wenye akili kama zako mnavyotaka? Kenge wa Magambani wanashida sana.
 
naangalia kipindi cha kipima joto itv, nashindwa kuwaelewa wanawasemea ukawa! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya mhe. Reginald mengi vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya ipp ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

jiangalilie tbccm wahego! Hiyo ndio huwa inaandaa midahalo mizuri!
 
mtoa mada.yanayozungumzwa na mzee butiku ndio ukweli mtupu.change station angalia Tbccm tv
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

We ulitaka ifanye kazi ya ccm kama TBC???shame on u!!
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

...we kichwa tope hujui maana ya neno ukawa ?ulitaka wawasemee ccm ?ukawa ni umoja wa katiba ya wananchi,sasa ulitaka wawasemee mafisadi wa nchi ?nyambavu kweli,mzee mengi anajali uzalenda na anasaport matakwa ya wananchi,ukawa. Kaangalie takataka iliyopaswa kuongelea wananchi inaongelea maslai ya majizi tu....
 
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale waliopitisha katiba pendekezi. Nashangaa sana vyombo vya habari vya Mhe. REGINALD MENGI vimekua mstari wa mbele kuwakingia vifua wanaohujumu amani ya nchi hii. Kama policy ya IPP ni kuunga mkono upinzani basi ijiweke wazi zaidi na sio kujifanya kichaka cha wahaini wa nchi hii.
Mna bore, mko biased sana.

Kaanzishe TV yako halafu ualike watu wote,ile sio TBC,TBC ndo una haki ya kuwauliza hilo swali.
 
Back
Top Bottom