Kipima Joto ITV:UKAWA ni Sons Of Isaack

nimeguswa na maneno yenye kutia moyo,na yenye ukombozi ndani yake kiukweli tumechoka na serikali mbovu ya ccm,inakila haina ya uchafu.ukawa mmekuja wakati sahihi wa ukombozi
 
Watanzania tuwaombee sana Ukawa, wanawindwa kwa kila namna na mainterahamwe, mpaka wanapenyezewa mamluki ndani ya chama wenye mioyo haba!
 
Wakuu JF,
Naangalia kipima.joto ITV.
Kuna mtu mmoja kwa kweli amenifanya nipate usingizi mnono sana.
Amesema wana Israel walikaa Utumwani kwa Miaka Sabini,ndani ya Wana wa Israel kulikuwa na kabila dogo sana la watu wachache waliokuwa wanajulikana Sons of Isaack yaan watoto wa Isaka ambao ndio walikuja na suluhu ya kuwatoa wana wa Israel kutoka utumwani Mpaka kwenye nchi ya asali na maziwa, huyu mtu ametufananisha wa Tanzania wana wa Israel na UKAWA kama Sons of Isaack.
Muwe na usiku mwema.

Pamoja na kuwa nakubaliana na UKAWA ila nashindwa kupata usahihi wa kimaandiko kuhusu hao wana wa Isaka kuwa ndani ya watoto wa Israeli. Nijuavyo mimi Isaka ni mtoto wa Ibrahimu alyezaa watoto wawili mapacha, Yakobo na Esau. Yakobo baadaye alipewa jina la Israeli na Mungu na ndio maana watoto wake wale 12 wakaitwa wana wa Israeli. Hakukuwa na suluhu yoyote ya kuwatoa wana wa Israeli, ila ulikuwa ni mpango wa Mungu kupitia kwa mtumishi wake Musa mwana wa ukoo wa Lawi.

cc: umumura; Edward Sambai; Danny Jully; Fukara; kenonke
 
Wewe tatizo lako hujasoma biblia umedokoa tu biblia au umesoma biblia ile iliyopunguzwa vitabu. ubishi sijazoea lakini meseji umeipata.
 
Ukawa imebarikiwa sana, ila napenda kutoa angalizo. Kila kiongozi aliyekuweko ukawa ajitafakari sana, tusije ingia katika ubinafasi. Nawahakikishia tukiweka maslahi ya umma mbele CCM Bye Bye.
 
Wewe tatizo lako hujasoma biblia umedokoa tu biblia au umesoma biblia ile iliyopunguzwa vitabu. ubishi sijazoea lakini meseji umeipata.

Asante kwa mawazo yako mkuu. Naamini unanifahamu vyema kuliko mimi ninavyojifahamu kama sivyo basi neno lililoko kwenye signature yangu linafaa kuwa jibu sahihi la maelezo yako.

Katika maisha yangu nilikua najiambia kila siku mungu wape nguvu vyama vya upinzani viungane! Naiuhakika mungu amesikia kilio changu! Long live ukawa! Mungu awape nguvu muendelee kushikana!

ubarikiwe sana mkuu .
 
Kwenye ile Safari ya wana wa Israeli Intarahamwr kama nyie pia walikuwako ambao kimsingi waliangamia na Farao kwenye bahari ya Sham.

Hakika mkuu walifia wote jangwani hawakuiona nchi ya ahadi yenye maziwa na asali, hata leo wapo ambao hawataiona tanganyika yenye neema kwa wote
 
Intarahamwe hawajatuma mamluki?

Mkuu
Kama kawaida yao.
Jana kulikuwa na mwanasheria wao intarahamwe na mwenzake aliyevaa kaniki yenye rangi mithili ya bendera ya taifa shingoni...
Intarahamwe ni zaidi ya ibilisi..
 
Amen Aleluyah Amen! Ukombozi kwa waliopumbazwa kwa miaka 50 umekaribia! MUNGU usiache kutenda haki mwaka 2015!

:plane:eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen wamesharuka hawashuka tena
 
Umeguswa na nini cha ajabu kwenye hili dunia inawatu wa ajabu kweli yani unaguswa na ukawa kweli majanga.

Duniani kuna watu na viatu nadhani wewe ni mmoja wapo wa kiatu inatupasa tukivue kwa vile mahali tunapotaka kwenda ni pasafi hakuna wezi, wanyanganyi, wadhulumati, wasema uwongo na mengine yafananayo nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom