Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
tehe mkinga ana data za uhakika kila anachosema km serikali ingeyafanyia kazi wala tusingekuwa na huu upuuzi sasa
Mkinga anaelezea kuhusu vyanzo vya umeme kua Tanzania ina neema ya vyanzo vya umeme kama vile makaa ya mawe,upepo,joto ardhi na si kutegemea maji kama ilivyo sasa.
Mnaweza jionea wenyewe uyu mzee anatema nondo kumbe nguzo gharama yake ni 250000 wakatii tanesco wanatugonga milioni na ushee mbaya zaidi nguzo za mufindi pale!
Ni mzee Mkinga kama kawaida yake!
Jionee live sasa apa ITV[/QUO
Mkulima kule Njombe na Mufindi anauza Nguzo moja sh 10,000/= wao wanakuja kutuuzia sh 1,000,000/=
Mkinga anasema, Tanesco Kigoma wananunua mafuta ya Bilioni 200, halafu wanauza umeme wa milioni 200
Duh! Inafurahisha!Tangu mitambo ijengwe enzi za Nyerere Tanesco hawajajenga mtambo wowote wa kufua umeme wakati Nyerere aliweka mpaka na ziada ya umeme kwa mahitaji ya wakati huo.
Tanesco wanatudanganya mgao umeisha kumbe ndiyo kwaaaza mgawo unaanza!everywhere mgao mgao tu!