Kipima joto ITV, Renatus Mkinga na TANESCO

Ameniacha hoi staily aliyo anza nayo. Ccm kuna makundi 3. Kundi la kwanza ccm asili, kundi la pili ccm mambo leo ambao ndio mafisadi, na kundi la tatu ni chumia tumbo ambao bila shaka yule mshkaji wa propaganda ana belong humo.
 
tanesik nimali ya selikal haiwezi fanya kitu chochote tusiilaumu mikataba yote ya lichimondi nk niselikaliinahusika moja kwa moja mkinga ameaidi kwenda bungeni atapambana na wabunge wanaorala
 
mpiga simu kutoka Kyela anamlaumu Ngereja na kuwa amepoteza sifa, anashangaa kwanini JK anamuangalia huyu Ngeleja. Hata mimi nasikitishwa na utendaji wa waziri huyu na rais wake
 
Yaan Mkinga nomaaa anachana vibaya, nchi hii bwana watu wazuri kama mkinga hawatakiwi
 
Nadhani ifike kipindi TANESCO watulipe fidia bse tunatumia mda mwingi kuwadiscuss halafu hatulipwi wao wako kwa ofisi hawalipwi!
Tunatumia mda wetu kuwadiscuss
 
Yan roho inaniuma natamani kuandamana mwenyewe....really we need reforms in this nation.
 
  • Thanks
Reactions: Bob
Jamb anadai rostam fisadi ni rafiki na january...mh huyu mkinga hauogopi?
 
Huyu mzee ninoma isee, anamwaga ugali,mboga na maji ya kunawa
 
Mkinga anasema alishawahi staafishwa kwa manufaa ya umma just kwa kuhoji uhalali wa kutoa passport kwa m2 asiye mtz...

barua iliandikwa eti renatus mkinga ana dharau,kibuli na haheshimu mkurugenzi wake mkuu na waziri wake.
 
Back
Top Bottom