Kipima joto ITV, Renatus Mkinga na TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima joto ITV, Renatus Mkinga na TANESCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jun 3, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mnaweza jionea wenyewe uyu mzee anatema nondo kumbe nguzo gharama yake ni 250000 wakatii tanesco wanatugonga milioni na ushee mbaya zaidi nguzo za mufindi pale!
  Ni mzee Mkinga kama kawaida yake!
  Jionee live sasa apa ITV
   
 2. Y

  Yana Mwisho Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu mzee kwakweli anaongea mazuri mpaka basi. Laiti wakuu wetu wangekuwa wanasikiliza maoni haya, tungesaidika sana
   
 3. Y

  Yana Mwisho Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwasasa anazngumzia mkataba Symbion amesign na nani? Dowans au nani? Au ali adawi
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mkinga sio mwoga.. Crap..
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ranatus Mkinga na sakata la Umeme Tanzania, anaelezea matatizo ya serikali na Mafisadi
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ngoja niwahi , huyu mkinga nimewahi kuona video yake moja ktk harakati za Kukataa ufirauni ktk taifa hili.
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Tupe update mkuu,
   
 8. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo ninasikiliza kwa makini sana.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ila jamaa hana woga kabisaaaaaaaaa
  Kumbe kati ya watanzania kumi ni wawili tuu wana umeme nchini Tz.Sasa kama ingekuwa 8/10 ingekuwaje?
  TANESCO bwana sound!
   
 10. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  katika kaya 100 nikaya 10 zenye umeme
   
 11. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Naona kama Mkinga anatumia maneno makali sana mf. hawa Tanesco ni wajinga......ila napenda hoja anazozitoa kuhusu tanesco na serikali kwa ujumla.
   
 12. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkinga anaelezea kuhusu vyanzo vya umeme kua Tanzania ina neema ya vyanzo vya umeme kama vile makaa ya mawe,upepo,joto ardhi na si kutegemea maji kama ilivyo sasa.
   
 13. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mukinga tanzania inavyanzo 4 vya umeme maji upepo makaa yamawe joto alizi bahati tuliyonayo watanzania
   
 14. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa nilipo ni giza totoro. Tanesco hawa, Duh! Hebu ngoja nijiimbie nyimbo tulizokua tunaimba enzi hizo ili niimarishe uzalendo kwa taifa langu.

  Sisi hapa
  Ni watoto wadogo
  Twajifunza siasa ya ujamaa

  Ama huu
  Tanzania tanzania
  Nakupenda kwa moyo wote
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mbona enzi za Nyerere hukukuwa na matatizo ya Umeme wala maji?
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbe ukixplore sources zote za umeme Tz kuanzia geothermal,hep,wind power etc twaweza pata 10000mw makubwaaa!
  Wakati consumption yetu kwa sasa ni hardly 2000mw
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkinga anasema, Tanesco Kigoma wananunua mafuta ya Bilioni 200, halafu wanauza umeme wa milioni 200
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asee!
  Duh!
   
 19. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr.Zakayo anazungumzia kuhusu ukimya wa tanesco.Ili tatizo lieleweke.
   
 20. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Tangu mitambo ijengwe enzi za Nyerere Tanesco hawajajenga mtambo wowote wa kufua umeme wakati Nyerere aliweka mpaka na ziada ya umeme kwa mahitaji ya wakati huo.
   
Loading...