Kipima joto ITV: Mkumbo kama wasomi wenzie

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Kupima moro Itv kunaendelea. Mkumbo yupo ktk kipindi , ila kuna watu smart na ana choice mbili kati ya magufuli au jk. Propaganda zake zimebanwa. Anaanza kuwa too general kwa vile hawezi tawala hoja.

Hawa jamaa hawana culture wala values. Ni gharama na hasara kwa jamii. Kuwa wasomi kinyonga, wanalazimisha kubaki ktk public space kwa undumilakuwili. Km msomi kila akipanda jukwaani na set ya propaganda huku Ukiangalia pa kununua wapinzani. Wakikuta upepo mgumu na kuna watu smart wanaweza tête a hoja honestly, wana hibernate au kuwa too general km leo. Ni hatari sana. Ni wasomi.km Simba na yanga ujanja wao ni ndani tuu ktk ulinzi wa ccm na si nje ktk dunia.
 
Eti ana njaa kali kama Somalia! Hv Mkumbo pale UD halipwi mshahara eeh?
Wana wanajibaraguza tu, ila ki ukweli wanajuta kuwakosa Mkumbo, Mwigamba, Zito and et al, sasa wamebaki kuponda tu, hasa wanavyoona chama chao kinakufa kifo cha mende
 
Ni wakati tu kila mmoja analo lake rohoni,ndio siasa za bongo,maprofesa,wanafunzi,wanasiasa,wananchi,viongozi,kila mmoja ni kigeugeu sasa muda mwingine tusilazimike kujiuliza kwanini yule hayupo kama mimi,napenda nyeusi yeye anapenda nyeupe.
 
Eti ana njaa kali kama Somalia! Hv Mkumbo pale UD halipwi mshahara eeh?

tuliza kiuno wewe.Kwa aliyepita pale UD miaka ya karibuni hakuna asiyemfaham mkumbo hatakama analipwa lakini kwa tunaomfaham huyu bwana siyo njaa ya kawaida aliyo nayo,nimetolea mfano njaa ya Somalia lakini nahisi,hata hiyo njaa yake Ina uwezo WA Kula chuma ni zaidi ya njaa
 
Leo Mkumbo anaambiwa ana njaa, upinzani usio makini ndio wenye njaa. Na hauwezi kushiba kwa sababu hauwezi kujitofautisha na madhara ya akili za vilaza.
 
Kitila Mkumbo anatetea contradiction iliyoletwa na Magu na Waziri wake, alipoulizwa Kwanini Waziri anasema lake na rais anasema lake akajibu kuwa eti alichokiongea Rais ni kama kuongeza nyama kwa alichokisema Waziri
 
Sikuangalia kipindi hadi mwisho lkn kwa muda nilioangalia nimeona amejihiti kuwa huru kwa maana yakutoegemea..upande..kwa mfano amengumzia Utawala wa Mkwere ulikuwa unajali uWINGI bila UBORA wa ELIMU husika....ndio maana madarasa mengi yamejengwa..Wanafunzi wameongezeka bila kuwa na waalimu nk...amesema kwa muono wake kutokana na Hotuba ya Rais ameona jamaa hataki ujinga wakuwa na Wanafunzi wengi wasio na Viwango...ameshauri kama nihivyo Waziri husika afanyekazi kwelikweli ili ufaulu uongoezeke....Tatizo kubwa Elimu yetu imegeuzwa kuwa Siasa
 
Mkumbo jana aliamua kuwa neutral maana juzi alisifiwa na Magu,sasa hataki kuaribu na inasemekana anateiliwa very soon kuwa mbinge na waziri kuziba nafasi ya KITWANGA
 
Alikuwa akiongea huku akifikria magufuli anaangalia, kikwete anaangalia, ayatollah anaangalia
Ili awaridhishe wote

Ukishaweka masilahi mbele, elimu yako sio chochote
 
habar wakuu,nimeshtushwa kidogo na uchambuz aliokuwa akifanya prof.mkumbo kwenye kipindi cha kipima joto itv..kwa alikuwa akifanya uchambuz kwa woga kana kwamba asionekane anaikosoa serikali kwenye mgogoro wa UDOM wa wanafunzi zaid ya 7000 waliofukuzwa..aliponikera zaid ni pale mwandishi alipomuuliza,je hii inaleta picha gani wazir kutoa sababu zake za wanafunz kufukuzw halafu rais naye anatoa sababu nyingine tofaut..unazungumziaje mgongano huu prof? majibu mkumbo:kwanza wazir na rais hawajatofautiana sababu bali ni sababu nyingin za ziada zilizoongezeka..kidogo majibu haya ya prof.mkumbo yalinishtua kwa kweli kusema eti rais na wazir hawajatofautiana kauli wakati ukweli ni kwamba wametofautiana...swali kwa mkumbo au kwa sababu rais alikusifia ndio maana ukaamua kuupindishwa ukweli
 
Nashukuru hiyo siyi Prof. bali ni prof. si unakumbuka uprof. wake wa mwendo kasi aliukwaa lini.
 
Huyo ni miongoni mwa watu wanaojiita wasomi wala haitwi msomi
Huyo ni prof.asiyekua na fikra huru maana hajipambanui vizuri kama nikundi gani.
Bora kama Bana amejipambanua
 
Back
Top Bottom