Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
TBC leo haina mvuto inaboa sana .TBC imefikia mahali hata watangazaji wake wamekuwa bored.TBC sasa hivi waandaa vipindi na watangazaji hawajui tena tofauti kazi za kujifunzia na kazi za kurusha.Watangazaji wa TBC vijana na wazee wote wanaonekana wazee,wachovu na makanjanja.Hawajui hata namna ya kupata promo za ahsante za CCM.ITV inatoa watangazaji wengi kuliko katika vile nafasi za ahsante,kwa vile ndipo CCM wanaona kidogo wakipata mamluki,anaweza fanya kitu cha kusikilizwa na watu.TBC waaandaa vipindi hawajui tena kwamba dunia inatazama TBC kupitia channeles waliojiweka.Hawajui kwamba TRUMP anaweza julishwa tuu kirahisi kupitia twitter ili athibitishe upuuzi wao. Na atawachana vibaya si mtaaibika kuliko bashite,ila dunia itajua ujinga wa hii dunia yetu.
Turudi katika issue ya msingi.Waliofukuzwa CCM na waliopewa Onyo ni baadhi tuu ya watu wanojitambua na ndio wanchama pekee wenye thamani ndani ya CCM.Hao ndio watu pekee wanaoamini sio kweli kwamba Mwenyekiti siku zote yupo sahihi.Hao ndio watu wapo tayari kupoteza ubunge,au nafasi ingine waliyopata kupitia ccm.Hao ndio tofauti na waliongia CCM wakiwa desperate kutaka vyeo na wapo tayari kufanya lolote ili wasipoteze hizo nafasi.
CCM imeamua kubaki na wale ambao ni mizigo,imeamua kuchukua wale ambao wametoka katika vyama vingine baada ya kukosa madaraka, na wapo deperate enough kufanya lolote la kujidhalilisha ili wapate nafasi na pia wasikose nafasi.CCM imeamua kubaki na daydreamers ambao wanaweza kimbizana hadi kufa wakiamini kwamba ccm ni chama imara sana,kina wasomi sana, kwamba CCM ni kama Mbuyu mkubwa sana.Hawa waliobaki CCM ndio wale ambao hawajui kuwa mbuyu nao huoza kuanzia ndani ,siku ikifika nje biashara ilishaisha siku nyingi sana. Hawa ndio hawataki akili yao kuamini wanayoyaona kuwa makosa makosa ya mwenyekiti sio uzushi ila ni reality.Hawa waliobaki na kuingia ccm ndio wale kwao ZIDUMNU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI NI NGUZO YA KWANZA YA IMANI kwao.
Kama ilivyo kwa TBC baada y akukosa bunge live,sasa imebaki km Gofu,hata waishio humo ndani hawana mvuto,hawajitambui na hawana mategemeo katika kitu halisi. Hawaishi kujipa matumaini kuwa kuna kitu tuu kitatokea ila hawajui nini.TBC imekuwa ya hovyo na ya chini kuliko au kama magazeti ya CCM uhuru na Mzalendo yanapokuwa juu ya stand ya mgazeti.Wauza magazeti kama hawana nafasi wanayaweke huko kwa vile yana muonekano mbaya.Yana habari kama za wanasesere,wana mizaha kwa upinzani ambayo inakuwa too good to be true. Hawa cream ya CCM wanaoweza kuona jinsi sheria hazifuatwi, wanavyoona kwamba mwenyekiti anawapigisha story za wanasesere ili kuhalalisha makosa katika issue nyeti.Hawaoni jinsi ya kumvumilia.Hawani kwanini watii fikra mbovu za mwenyekiti, na KUACHA IMANI YAO. Kwanini waache "imani yao" imani yao kwa matokeo ya akili zao.Imani ya yao kwa LOWASA. Imani yao kwa Lowasa ni Kubwa kuliko kwa Mwenyekiti . Sidhani kama kuna atakayeweza jibu swali .Nani anafanya mambo ya kuaminika zaidi bila kujipinga pinga na kugeukageuka kati ya mwenyekiti na Lowasa?
Wakati ni kweli kwamba IMANI KWA LOWASA NI KUBWA KULIKO KWA MWENYEKITI,Ila hao wenye hiyo imani ndio wenye ufahamu wa kuipa CCM thamani kidogo mbele ya vyama.Kama ilivyokuwa kwa Bunge live ndio kitu pekee kingeweza ipa TBC thamani .
KWA UJUMLA NI KWAMBA CCM BILA "IMANI KWA LOWASA" ITABOA KULIKO TBC BILA BUNGE LIVE.CCM itakosa watu wenye afadhali mbele ya wanachama wa vyama vingine.Wanachama wa vyama vingine wana uwezo wa kuona makosa ya mwenyekiti wa ccm kabla hajamaliza hata kuongea sentence.Wakati huo wanachama wenye kujitambua hata kidogo wa ccm wataomba apewe muda, wale wajinga watakuwa wakishangilia.Wengine watajitetea kwamba kwanini mwenyekiti asiangaliwe kwa mema kidogo huku wakisahau hata shetani ana mema mengi sana.Wale wanafiki na wenye ganzi ya akili watakuwa wakishangia KUWA FIKRA ZA MWENYEKITI NI SAHIHI SIKU ZOTE. Wanachama wa vyama vingine watakuwa wakicheka na kuwafananisha na wanyama kama nyumbu.Kama Ilivyo TBC muda wa taarifa za habari, watu wankimbilia ITV na AZAM .Wakiacha TBC na Star TV,km antiquities. What a shame,serikali imeamua kuidharaulisha TBC kiasi cha kwafanya hata wao wenyewe wasipate tena mahali kufanyia propaganda.
Ukiangalia kwa makini mkutano wa CCM,unaweza amini ninayosema hapa.Wakati mwenyekiti anaongea hakuwa nasikilizwa kabisa.watu walikuwa wakipiga story.Ilikuwa ni zaidi ya kile yule mtanzania anayechora katuni kule kenya GAYO anaita kilabu ya taptapu. Watu wasiosikiliza hata vitu serious ni wakosa adabu .Waliokuwa wanasikiliza kisogo ndio wenye akili na waelewa,hao ndio walioweza sikia na kuzielewa kauli za mwenyekiti.Hao ndio walikuwa na uwezo wa kujua kwamba KAULI ZA MWENYEKITI ZINAWEZA ZISIWE SAHIHI NA SIO SAHIHI ZOTE KTK HILI NA LILE.