Kipima Joto ITV, Mgeni Dr. Bana

Kipima Joto ITV, Mgeni Dr. Bana

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,993
Reaction score
2,034
Kweli nchi hii ELIMU inafanyiwa uhuni wa ajabu sana mtu hata uongeaji wake utadhani hakuingia darasani,huyu bwana ni mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe.

Hajui anaongea kutoka wapi na anaelekea wapi,anaongelea democrasia ambayo wao na Redet yao ni wanaoongoza kununuliwa na kufanya mizaha ktk demokrasia.

Kweli nchi zetu huwezi jua msomi ni yupi na asiye msomi ni yupi.
 
We ndio mjin.ga kuliko watu wote duniani.... Bana anaongea vitu vya msingi sana sana kwa mustakabali wa Taifa.
 
Mtoa hoja nashindwa kukuelewa.....wewe ulitaka aongeaje? Nimefuatilia kipindi chote.

wachangiaji wote watatu mbona wameongea facts bila ushabiki..!

Kusema CCM haikufuata utaratibu wake yenyewe ndio umeona wamekosea....?
 
Kweli hata mm nimeangalia kipima joto leo, sijaona hoja za hao ma Dr. wala huyo mtatiro.

Wote hawako huru, wanaongea kwa kujipendekeza tu ili kupata uteuzi.
 
We ndio mjin.ga kuliko watu wote duniani.... Bana anaongea vitu vya msingi sana sana kwa mustakabali wa Taifa.

Kuna siku utajua nani ana akili kati ya mm na ww fisi uliye laza ubongo na mgumu wa kuelewa kama huwezi kumuelewa mtu anacho ongea in deeply basi taifa hili lina mabwege wengi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom