Kipima Joto ITV: Jamali Malinzi akimbia Kipindi

Kipima Joto ITV: Jamali Malinzi akimbia Kipindi

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Nimesikitishwa sana kipindi kinaendelea sasa na mada kuu inamuhusu yeye lakini hayupo, yupo Tarimba tuu

MADA
"Siku 100 za uongoz mpya wa TFF kuingia madarakan, Yap mafanikio na changamoto zilizopo!"

Watu wanachangia vizuri sana, lakin maswali mengi na hoja nyingi zinaitaji ufafanuz wa rais, wakat hayupo.....
 
Huyu Jamaa mi nilipoteza imani kwake ktk ule uzi humu JF aliulizwa atoe ufafanuzi juu ya Ukabila ndani ya TFF, cha ajabu maswali yote alikuwa anajibu isipokuwa yale yanayohusu ukabila. Na watu takribani 6 waliuliza hilo swali ila akajifanya kama haoni maswali.

Tukiachana na wachezaji, viongozi wanaosimamia Soka letu Tanzania asilimia kubwa ni mizigo.
 
viongozi wanaosimamia Soka letu Tanzania asilimia kubwa ni mizigo.

Tuwe wakweli. Viongozi, wawe wa TFF, wa Serikali au wa Kisiasa, wanatokana na jamii. Asilimia kubwa ya jamii yenyewe inapokuwa mzigo, unategemeaje wanaotokana nayo wasiwe mizigo?
 
hakuna udhuru wowote, katimba tu tarimba ~mjumbe, hakavishwa viatu vywake... kipindi kikashonga.

Yupo kwa ajili ya soka au kambi za urais 2015?!!!!!!!
Hapo ndio roundabout mkuu think again!!!!!
 
Back
Top Bottom