klorokwini ni asali wa moyo ila sio baba kadogoo.....baba kadogoo ni Vin Diesel ...ukimwona popote shemeji ako umpe heshima yake.....hapo ndipo moyo wangu unapodundia sawa eeh?sweetlady, kadogoo mzima?? mwambie mama yake wa ubatizo yupo huku, bussyyy kuandaa huo ubatizo wenyewe, by the way huyo @klorokwin ndiye baba kadogoo? tujuzane basi!
weekend hii, nilitoka was hukooooo kuwaona parents na twins, ndio haswaaa nimerejea, nipo nanywa uji wa kungu ndio haswaaa kitulizo changu, huku namngojea shemeji yenu! lolest! kises kwa twins, waambi aunt cacico anawapendaje sasa??
klorokwini ni asali wa moyo ila sio baba kadogoo.....baba kadogoo ni Vin Diesel ...ukimwona popote shemeji ako umpe heshima yake.....hapo ndipo moyo wangu unapodundia sawa eeh?
sweetlady mbona nilikuwa siijui hii? Au ndo uzee? Hongera Vin Dieselklorokwini ni asali wa moyo ila sio baba kadogoo.....baba kadogoo ni Vin Diesel ...ukimwona popote shemeji ako umpe heshima yake.....hapo ndipo moyo wangu unapodundia sawa eeh?
sweetlady mbona nilikuwa siijui hii? Au ndo uzee? Hongera Vin Diesel
:busu KHA! NIMEPOKEAJE SASA?na wao twins wanakupendaje? kusikia tu salam zako wapo kunitekuwa hapa!
kwa niaba yao mie nasema mwaaaaaah.
nimekusikia, nimekufikia! Lol!klorokwini ni asali wa moyo ila sio baba kadogoo.....baba kadogoo ni vin diesel ...ukimwona popote shemeji ako umpe heshima yake.....hapo ndipo moyo wangu unapodundia sawa eeh?
nimekusikia, nimekufikia! Lol!
sweetlady mbona nilikuwa siijui hii? Au ndo uzee? Hongera Vin Diesel
trachomatis upo ndugu yangu??????......umepotea sana bana!Kura zangu kwa yote hapo juu ni ''S'' ..... Asante Bishanga