Unamzungumziaje Babu kwenye ujogoo wake?no 2 ni H, coz mi mwenyewe ni victim!
Kwi kwi kwi kwi,
No. 2
,N
Japo mwenyewe hajatoa tamko rasmi.
naomba tuonane PM ili niweze kukudavulia vizuri, kha!Unamzungumziaje Babu kwenye ujogoo wake?
Hahahahaaaaaa aisee lolacha kujipendekeza,nasikia asprin anakulipia kodi keko magurumbasi.
Hahahaaa hata hivyo PM ndio kuzuri hata nikijogooika hakuna anayeniona zaidi yakonaomba tuonane PM ili niweze kukudavulia vizuri, kha!
ulijuaje?? na juzi tu kaninunulia plot mabwepande! naona unaona wivu mi kujipendekeza kwake, ngoja nianze kujipendekeza na kwako basi, nafsi yako iridhike!acha kujipendekeza,nasikia asprin anakulipia kodi keko magurumbasi.
umeona eehhh!!!Hahahaaa hata hivyo PM ndio kuzuri hata nikijogooika hakuna anayeniona zaidi yako
Hahahahaaaa Bishanga mimi na Amyner hatuwezi kuachana kamwetaarifa zangu za kiintelijensia ni za uhakika 100% si unaona mafrestresheni yamemfanya Amyner asionekane jamvini siku hizi,acha ubahili bana,mwanamke matunzo.