Nimesema MOTO kama MOTO na BARAFU kama BARAFU sio tena uanzishe PREMIER au BUNDESLIGA kiongozi...!.
Mkuu sasa kipi kinashindikana hapo??
kama barafu unaishika kwa nini moto ushindwe kushika?!
Wewe jamaa kweli kilaza moto/fire ni source of heat na barafu/ice ni source of cold sasa hapo kipi kinasafiri haraka hilo suala ni la kitaalm sana yahitaji maelezo ya kina sana sio kirahisi na kiukilaza ulivyozungumzia ww.
Fire na.heat na ice na cold ni vitu tofauti kabisaaa hapo aisee sasa ww hapo umezungumzia kwa kuchanganya upande 1 na mwingine kama ni suala la kushikika hakuna source usiyo weza kuishika bana.
Ukizungumzia hiyo point yako eti joto ndio linasafiri halaka kwa kuwa halishikiki na unakuja na.point ya fire daaa hapo ndio unapo nichosha zaidi kwahiyo ww joto unajua ni moto??
na kudai kuwa baridi haisafiri haraka kwa kuwa inashikika na kutoa mfano wa barafu hapo napo umetia fora.
Joto na baridi havishikiki aisee.na suala la kipo kinasafiri haraka inategemeana ni kwenye material gani??
inategemeana unavishindanisha hivi vitu kwenye material gani??
mfano kwenye hewa/air maji/kimiminika na kwenye kitu kigum/yabisi hapo ndio utapata jibu sahihi.
Mkuu hiyo ni elim ya darasa la 5 au 6.
ngoja wataalam waje watusaidie hapa maana wakati tupo darasa la 1 na 2 mwalim akikwambia 1-2= haiwezekani 3÷5=Haiwezekani hayo ndiyo yalikuwa majibu sahihi kwetu lakini tulipoendelea zaidi majibu yalikuwa yanapatikanika.So mkuu kama akili yako imeishia hapo kwenye haiwezekani ngoja tusubili waliopo juu yetu watupe majibu stahiki.maana hapa jf kila kitu unapata.