makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,399
- 4,688
- Thread starter
- #21
Kaka hizi Mambo zako zakuuza mechi ni ujinga embu achana nazo kwanza..sawa ila naongea ukweli tu siyo kwamba wachezaji hakuna ila u faza na kujiona bora kwa baadhi ya wachezaji hadi wengine kuuza mechi unaona sawa??? hii timuatimua itarudishia watu aklili zao